Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moyes Skills + Moyes Experience = 8th Position.

Mkuu ligi ya mwaka huu usimcheke yeyote. Some few weeks tulikuwa points kadhaa nyuma lakini ukiiangalia table leo utagundua tofauti kati ya nafasi ya kwanza na huyo mnaemcheka ni 8pts tu which can be reverted hasa lwa ugumu wa ligi hii

Nakumbuka 8pts lead ilivyogeuzwa misimu miwili iliyopita kukiwa kumebaki something like 6 games na sasa kuna more than 18 games
 
Mkuu ligi ya mwaka huu usimcheke yeyote. Some few weeks tulikuwa points kadhaa nyuma lakini ukiiangalia table leo utagundua tofauti kati ya nafasi ya kwanza na huyo mnaemcheka ni 8pts tu which can be reverted hasa lwa ugumu wa ligi hii

Nakumbuka 8pts lead ilivyogeuzwa misimu miwili iliyopita kukiwa kumebaki something like 6 games na sasa kuna more than 18 games

Walivyoshinda game 6 walianza kujiita mabingwa kesho wanarudi kutetea ubingwa wao wa misimu 8.Wiki mbili zilizopita walituacha point 15,now zimebaki 7
 
......Spurs 3 - 2 Southampton.
Nasema hivii.... #Mtazoea tu hiyo
#Fugure8

View attachment 128224

tena inawapendeza kweli mashaallah,
Hapo hapo nane nane, khekhekhekheeee!

Cc Wacha1, BAK, Balantanda..et al....
Wacha kuwaumiza wenzio weye, Nzi na Mfarisayo kwisha habari yao. Achilia mbali Belo na Manda. BJ ndio kabisa katokomea madongo kwinama khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Chacha chijui kama
Eqlpz atarejea hapa , bora aendelee kutumia jina alilolibadili khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeee wanakimbia na kuja na majina mapya ... .. wamezoea kubebwa bora waendelee kushadidia ushoga unaowamaliza.
 
kama ambavyo Moyes karejea kwenye nafasi yake aliyoizoea i.e 8.

Sasa ndo mtaijua Man United ni kitu gani. Ni wakati wa kurejea kwenye nafasi zetu. Tutashinda mechi saba mfululizo, mbili tayari bado tano tu. Hadi Februari tuko kwenye nafasi mbili za juu.
 
Sasa ndo mtaijua Man United ni kitu gani. Ni wakati wa kurejea kwenye nafasi zetu. Tutashinda mechi saba mfululizo, mbili tayari bado tano tu. Hadi Februari tuko kwenye nafasi mbili za juu.

tupo ktk nafasi nzuri na tunauhakikwa wakumaliza tukiwa ktk nafasi nzuri pia
 
Walivyoshinda game 6 walianza kujiita mabingwa kesho wanarudi kutetea ubingwa wao wa misimu 8.Wiki mbili zilizopita walituacha point 15,now zimebaki 7

Ni kweli Tutarudi nafasi yetu tuliyozoe pia kumbuka Moyes naye kafika nafasi aliyozoea.
BTW kwanini unajifanya kusahau kwamba kabla haijafika hyo gape la point 15 ilikuwa 5, ikasogea 7, kisha 9 na kuendelea mpaka 15.
NB: Hatujawahi kujitangazia ubingwa mechi ya 6 ni wewe ndio ulitutangazia nasi tukapokea kheri zako kwa mikono yote miwili.
 
Mambo ya Christmas hayo
 

Attachments

  • 1387817720289.jpg
    1387817720289.jpg
    13.4 KB · Views: 64
  • 1387817748822.jpg
    1387817748822.jpg
    23.7 KB · Views: 67
  • 1387817781670.jpg
    1387817781670.jpg
    14.2 KB · Views: 74
  • 1387817845088.jpg
    1387817845088.jpg
    19.4 KB · Views: 72
  • 1387817952941.jpg
    1387817952941.jpg
    25.8 KB · Views: 63
  • 1387817976435.jpg
    1387817976435.jpg
    11.7 KB · Views: 67
  • 1387818001182.jpg
    1387818001182.jpg
    16.5 KB · Views: 63
  • 1387818021383.jpg
    1387818021383.jpg
    18.3 KB · Views: 64
  • 1387818070151.jpg
    1387818070151.jpg
    9.1 KB · Views: 65
  • 1387818129813.jpg
    1387818129813.jpg
    8.7 KB · Views: 64
  • 1387818172463.jpg
    1387818172463.jpg
    14.4 KB · Views: 64
Mkuu TcleverlyMfarisayo,Inzi e.t.c
Mnaweza mkatukumbusha Msimu wa Mwisho kuingia Xmass mkiwa nafasi mliyopo sasa??
Tafadhali tuweke kumbukumbu Sawa....
 

Attachments

  • 1387838928201.jpg
    1387838928201.jpg
    56 KB · Views: 69
Man U hadi mwisho wa mwaka huu tupo Top 4 na january mwanzoni tunakamata usukani.
 
Hivi haiwezekani kuedit tittle ya hii thread? Maana naona Chelsea thread, Liverpool thread, Arsenal thread etc ila hii tu imechombeza na Hatushikiki, nikicheck msimamo naona kama kama hiyo hatushikiki wakati wenu wa kuitumia bado sana, hahaha....
 
Hivi haiwezekani kuedit tittle ya hii thread? Maana naona Chelsea thread, Liverpool thread, Arsenal thread etc ila hii tu imechombeza na Hatushikiki, nikicheck msimamo naona kama kama hiyo hatushikiki wakati wenu wa kuitumia bado sana, hahaha....

Mtaweweseka sana hali zenu zimeenza kuwa mbaya sasa
 
[h=1]Preview: Hull v United[/h]Date, time and coverage: Thursday 26 December, 12:45 GMT. The match will not be televised live in the UK, but you can also follow the action via ManUtd.com's live blog andMUTV Online's radio commentary. The game will be shown in full on MUTV from midnight matchday.

Form guide:
The Reds head along the M62 full of festive cheer on the back of four wins on the bounce, with West Ham despatched 3-1 at Old Trafford last Saturday. Hull are without a win since beating Liverpool for the first time in the club's history with a superb 3-1 victory on 1 December. But with three consecutive draws under their belts, the Tigers are proving to be a tough nut to crack and have lost just once at home this season, to Crystal Palace.


Ins and outs:
Marouane Fellaini will miss the next six weeks after undergoing wrist surgery, but David Moyes has left the door open to Robin van Persie and Michael Carrick playing some part over the festive period. It looks like Hull will have to do without leading scorer and former Red Robbie Brady, who has been laid low by a troublesome groin.


Betting:
That good recent vein of form sees United tipped as firm favourites for this Boxing Day encounter by bwin, our official betting partner. A win for the Reds is priced at 1.55, the draw is 3.90 while a Hull victory is 6.00. Adnan Januzaj bagged his third goal of the season against the Hammers, and a festive flutter on the youngster opening the scoring in a 2-0 win at the KC Stadium is a tempting 29.00.
 

''Moyes will definitely win the league next season,
my prediction:

1- Man United

2- Leicester City

3- Blackpool

4- Derby County

5- Leads Utd"



Merry - Xmass

Kheeeee kheeeeeee Wacha1 bana, acha dharau hizo bwana....you mean "Championship".....Sarcasm at its best
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Welbeck injury fears allayed[/h] Danny Welbeck has recovered enough from a kick to the knee to train ahead of United's Boxing Day meeting with Hull City.
Having opened the scoring in last Saturday's 3-1 win over West Ham, the striker was forced off early in the second half of the match, leading to concerns that a knee problem that kept him out of action in October and November had flared up again.
However, with the Reds due to play three important Barclays Premier League games over the next week, the manager says that the 23-year-old has not suffered a serious injury ahead of the festive fixture programme.
"It's only a kick to his knee," said Moyes. "I didn't know exactly what it was after the game. He'd had a knee problem a few weeks ago, but this was a kick to it. He's trained and we hope that he's OK. My worry was, 'is this the same knee that caused him a problem?' But it was a kick right in the kneecap. It's a contact injury, not anything to do with cartilage or anything else."
Robin van Persie's current absence with a thigh problem has allowed Welbeck to step into the breach up front for the Reds, and Moyes is keen for the Manchester-born forward to build on the recent form that has seen him back among the goals for United.
He added: "I think Danny's a really good player, and I want him to become a really good goalscorer. He's got three in the last three games, so that's a good record for him and he has to try to keep that level up."

There are no major concerns over captain Nemanja Vidic, absent since the defeat to Newcastle on 7 December. "Vida's fine, he also had a bad throat the other week, and he had an injury when he came back so we just had to look after him, but he is fine."
 
CONFIRMED #MUFC TEAM to face Hull City: De Gea, Rafael, Smalling, Evans, Evra, Valencia, Cleverley, Fletcher, Young, Rooney, Welbeck.

#MUFC substitutes: Lindegaard, Vidic, Carrick, Fabio, Kagawa, Januzaj, Hernandez.
 
Back
Top Bottom