Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dalot tulidhani atasaidia offensively lakini hakuna cha maana anachofanya..krosi za ajabu ajabu tu anapiga..na kukaba+ positioning tunajua sio wa daraja la juu.

Shaw ni jipu..ana the worst positioning intelligence ever.
 
Wazee acheni utoto....tatzo la united ni muumba yank sir God pia management na makocha.....wachezaji aje nani ili tuwe bora??? Nijibuni hapa?

Km tatzo ni wachezaji em shauri aje nani ili tuwe bora???
 
jamani mnamfatilia Vlahovic inabidi tupate mtu kama huyu jamaa ni mashine hata halland haoni ndani
 
Angalieni hi vid ya goli la southampton mumuone rashord halaf kuna wachezaji mmewatoa mnasema wavivu na wengine hawapo feet kucheza legeu ya uingereza ! Rashfor kwenye mambo 20 mawili ndo yatakuwa mazuri
 
Watu wasahaulifu sana leo wanamsifia Ole
tulikua tunafungwa goli 4 mfululizo mechi zake za mwisho leo wanasema tulikua hatufungwi sana.

Hii timu nionacho matatizo hayawezi kwisha labda ni nature sijui inaamua ila siioni ikisimama tena kwa sasa ni project ya miaka angalau mi4 mbele tena ya kocha wa kueleweka na wachezaji tofauti na waliopo,

jana mpaka tunafungwa Rashford anafanya jogging tu hakabi mpaka mtangazaji ameliongelea tuna wachezaji wavivu sana haiwezekani first half mcheze vizuri sec half mnaharibu tuseme ni mwalimu hata aje pep hapo hao mastaa wetu hawataki kubadilika na wameamua kucheza simple football zao za ole.
 
ila kwa ole nawashangaa sana
 
Ole presha tu babu lkn alikuw ameifufua team aliweka record nying san mpk alishinda mech 15 mfululizo bila sale
 
Ole presha tu babu lkn alikuw ameifufua team aliweka record nying san mpk alishinda mech 15 mfululizo bila sale
tulifika wapi sasa zaidi ya top 2? tumpe RR nae miaka mi4 kama Ole ndo tuanze kumkataa ila kwa sasa tunamuonea tu timu ilishajifia.
 
jamani mnamfatilia Vlahovic inabidi tupate mtu kama huyu jamaa ni mashine hata halland haoni ndani
Erling Haaland amefunga magoli 80 ktk michezo 79 Borussia Dortmund (Bundesliga, DFB Pokal, UEFA).

Dusan Vlahovic amefunga magoli 50 ktk michezo 111 Fiorentina na Juventus (Serie A, Coppa Italia, UEFA).
 
Dean Henderson Manchester United second choice GK was arrested for assaulting his girlfriend.

#MUFC



Kama kawaida
 
Hawa ndo walikuwa wachezaji huwezi amini leo tuna lizigo pale nyuma tumelinunua kwa hela nyingi afu halina kitu mbaya zaidi tumelipa na ucaptainView attachment 2119135
Manin.a cheki watu walivyokuwa wanapiga mzigo..

Kina Vidic wakikaa sebuleni kuwaangalia kina Maguire watakuwa wanasikitika sana how things have been heading south.
 
Patrick Schick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…