Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Second game yetu na nyie ANFIELD kuna 5 nyingine.
 
Cursed??
kajisemea De gea.....huwezi kuelewa kabisa tatizo la hii timu!!
 
Nyie hamna hadhi ya kuendelea kucheza Premier League Quality hiyo hamna tena ,Nendeni Championship huko mkapambane na Swansea.
 
Sisi kama mashabiki wa Kitayose Footaball Club, tunapenda kuchukua nafasi hii kutangaza kwamba next week tutakuwa na Friendly match dhidi ya Mwanitesa United kwa ajili ya kujiweka sawa na match zinazofuata.
 
siku za nyuma nilipo-comment kwamba hii Timu ni mbovu niliambiwa mimi ni Mamluki[emoji23][emoji23]
 
Kuna mabadiliko makubwa katika uchezaji wetu.....sahizi hata positioning unaona inaeleweka....

Ralf kwanini asikae hapo miaka 2 akitengeneza timu...

Ralf
Enrique
Ten hag
Poch
Eti ee
 
Weweee... tunawala 6, at least tuoneshe tofauti kati ya kwao na kwetu
 
Hakuna hapo hovyo tu wote and yes nilisema kimetokea kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…