Acha tu, sema hatuna striker damu changa na mpambanajiIla inabidi ifike kipindi tukubali tu ronaldo atufai kukaba awezi kukaa na mpira saizi awezi kwa shida ya man u naona mwamba atatuchelewesha.
Sema sometimes wachezaji wanakua tatizo. Ilitakiwa ndio aanze kubuild timu sio Ole on the Wheelchair.Kuna mabadiliko makubwa katika uchezaji wetu.....sahizi hata positioning unaona inaeleweka....
Ralf kwanini asikae hapo miaka 2 akitengeneza timu...
Ralf
Enrique
Ten hag
Poch
Man u inaweza kununua kikosi cha team yako chote na benchi zima la ufundi na isiyumbe hata kidogo, unaongelea Halland [emoji23]Mna hela ya kumnunua Haaland au mna jiandikia tu
[emoji23] kavaa na armband kabisaNitampuuza 100% Ralph kama ataanza na Maguire leo.
GGMU.
Bro hakuna mtu mgumu kufanya nae biashara kama Daniel Levy, Son mtoe kabisa hapoHaaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
Umeona, asee Dalot yeah kawa wa moto nakumbuka kipindi cha Ole hakua hata na raha, tulipocheza na AC Millan.Tukishapataga goli tu tunaanza kukaa nyuma tunapunguza speed ya kwenda mbele sijui kwanini?? Sec half inaweza kurudi ya last week.
Dalot anaimprove sana pogba jamaa linajua basi tu jinga jinga. Hizi nafasi tungetumia tushamaliza mechi ila fresh.
Mkuu Fabrizio kaja na update leo Tielmans haongezi mkataba mwisho wa msimu, hatufai huyu kweli?My priorities
1. Declan Rice/ Joao Palinha/ Tchouamen/ Philip's
2. Patrick Schick
3. Sven Botman.
4 Son/ Dominic Szoboszlai
Post na la Southampton
Tukisema Ronaldo anazingua tunasemwa ni plastic fans.Ila inabidi ifike kipindi tukubali tu ronaldo atufai kukaba awezi kukaa na mpira saizi awezi kwa shida ya man u naona mwamba atatuchelewesha.