Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Son hawezi kuja kwenye timu la mapimbi kama hili ...Haaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
May be lindelof akili haijatulia si unajua uvamizi sio poa muda wote unawaza family.Rangnick kumbe mweupe tu..
Limaguire la nini uwanjani?.
Utazani hana tv kwakeUyu nae kaja kufanya nini ndo wanao leta na gundu hawa.View attachment 2117176
Patrick Schick
United wakimsajili Son Rasford atapata muda mzuri wa kupigania lishe ya watotoHaaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
Handball zitakuwa nyingi sana mtu anatuliza mpira kwa tumboMay be lindelof akili haijatulia si unajua uvamizi sio poa muda wote unawaza family.
Why, Wan Bissaka asigeuzwe beki wa kati. Yupo vizuri sana in one one ambayo beki wa kati hukutana nao, anakua last defense anayelinda tukipiga counter au dangerous attack.
Huyu bichwa Maguire sipati picha angekua mchezaji wa nje ya England.
Ukute Ralph hana namna. Summer furusha hata kuvunja mkataba.
Hahaha 😂😂😂😂Handball zitakuwa nyingi sana mtu anatuliza mpira kwa tumbo
My prioritiesHaaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
Bora Maguire he is careless lakini siyo kama BissakaHahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway bora kuliko Maguire.