Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha kukaza fuvu wewe huo uwanja wa OT ujae kila game ,kwamba nyie ni special Sana
 
Ilikuwa game gani?..

Usije ukakuta unaona mashabiki kuondoka uwanjani ni sawa na kutokujaza uwanja kabla ya game??..

Mimi nacheki kila mechi ya United hakuna magap kama haya mwanzoni mwa game..
Usiwe mjinga ,Kuna game kibao tu hamjazi ,ila kazi ni kukaza kichwa Na kujiona special Sana ,et mnajaza uwanja ...OT ni uwanja mkubwa Sana kuzid hata wa Etihad ,Sasa unavokuja na takwimu et miaka yote game zote huwa mnajaza full ,basi wewe utakuwa unaongea kwa mihemko ....unajua OT inabeba mashabiki kiasi gani ? ,Na kila game wanaingia hao hao uwanjan ? ...
 
Unaangaliaga game ila hujui derby gan ,
Nimetrace hio Picha yako ni Jan 7 2020 Nusu fainali Carabao

1. attendance ilikuwa 70,000 sio sold out ila pia huwezi kuita eti uwanja ulikuwa Empty

2. Moja ya sababu Old traford haikuwa Sold out ni sababu ya Advice ya police kupunguza Away fans kwenye Derby matches, kutoka mashabiki 6000 kwenda 3000 hivyo kulikuwa na Maeneo ambayo walitakiwa wakae mashabiki wa Manchester City ila yakarudishwa kwa United.

Source
 
Point ya Kijinga Kabisa.

Udogo na ukubwa wa uwanja inaonesha jinsi mulivyo timu ndogo, hasa kwa Vile uwanja wenu ni mdogo na munashindwa kuujaza.
 
Point ya Kijinga Kabisa.

Udogo na ukubwa wa uwanja inaonesha jinsi mulivyo timu ndogo, hasa kwa Vile uwanja wenu ni mdogo na munashindwa kuujaza.
Ndio KOMBE PEKEE MNALOGOMBANIA NOW...kombe la kujaza uwanja OLD TOILET,
nyumbu mnakwama wapi?
 
Point ya Kijinga Kabisa.

Udogo na ukubwa wa uwanja inaonesha jinsi mulivyo timu ndogo, hasa kwa Vile uwanja wenu ni mdogo na munashindwa kuujaza.
Kwa hiyo nyie huwa mnajaza full kila game ? ....

Mbona uanakili ndogo Sana wewe jamaa
 
Baada ya Wembley nadhan OT ni uwanja wa pili kwa ukubwa pale England na unaidadi ya seat kama 74,140 na unavosema nyie mnajaza kwa hiyo game zote huwa mnaingiza idadi hio ya watu ?

Kama humuingizi hio idadi basi hamjawahi kujaza uwanja mwanaharamu wewe
 
Point ya Kijinga Kabisa.

Udogo na ukubwa wa uwanja inaonesha jinsi mulivyo timu ndogo, hasa kwa Vile uwanja wenu ni mdogo na munashindwa kuujaza.
Jibu hapa pimbi wewe ...

Idadi ya watu uwanja wa OT inaoweza kubeba ni 74,140...

Kwa hiyo kila game wanaingia idadi hio uwanjan ?????

Kama hawaingii hao watu basi huwa hamjazi na Kuna empty seat zipo ,Sasa kwanini unakaza fuvu et nyie kila game mnajaza uwanja full .....

Hata kama mna fan base kubwa kuzid city ila kusema mnajaza uwanja daily wewe unaonekana ni pimbi tu
 
Nawasalimu mwanitesa united......mnayaonaje maisha yanavokwenda pale ligi kuu uingereza? tukiachana na kule FA mlikotimuliwa
 
Point ya Kijinga Kabisa.

Udogo na ukubwa wa uwanja inaonesha jinsi mulivyo timu ndogo, hasa kwa Vile uwanja wenu ni mdogo na munashindwa kuujaza.
Katika timu kubwa england , liverpool,Chelsea ,man city ,Spurs ,man utd ,arsenal .....Chelsea ndio anauwanja mdogo kuliko wote ...na huwa Kuna game na wao hawajazi ....unataka kusema kisa Chelsea hajajaza uwanja na anauwanja mdogo ni timu ndogo wewe pimbi uliye pinda kama upinde wa masai
 
DuH! Kuna watu wabishi asee.

Emptyhad mshajaza lini?

Kuwe na Korona kusiwe na korona, kusiwe na hali yoyote ya kuzuia Mashabiki mshajaza lini?
 
DuH! Kuna watu wabishi asee.

Emptyhad mshajaza lini?

Kuwe na Korona kusiwe na korona, kusiwe na hali yoyote ya kuzuia Mashabiki mshajaza lini?
Ni lini nyie mmejaza uwanja


Unajua maana ya kujaza uwanja wewe
 
Mkuu una reasoning za ajabu sana.

1. Utd akishindwa kujaza OT na city akishindwa kujaza Etihad ipi ni Aibu? Huoni kwamba mwenye uwanja Mdogo alitakiwa ajaze sababu mashabiki wachache tu?

2. Ndio united Anajaza kila mwaka Uwanja na data zipo,

Hizi ni data toka statista.


Kuanzia 2009 hadi 2019 uwanja ni full tena unajaza kushinda capacity yake.

2019/20 ndio mechi ziliaghirishwa sababu ya corona na 2020/21 viwanja viliruhisiwa mashabiki wachache mwishoni

Source hapa

Sasa hivi old traford inajengwa siti za watu wa kusimama kuongeza capacity ndio maana unaona msimu huu inarange hio 71000 mpaka 73000 ikiisha hio wataingia watu zaidi ya 76000
 
Kumbe unaleta average ,unajua maana ya average wewe ....

Mimi nazungumzia single game ....


Single game ,game after game .....


Huwa mnajaza ????

Hakuna empty seat ???????
 
Unaleta mambo ya average Tena mwaka mzima ?? Ndio unamtaka hizo takwimu


Etihad inauwezo wa kubeba 53,400 na Kuna game seat zinakuwa empty ila nikulete average attendance per year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…