Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Wewe hujielewi unajua ...Fainali UCL ni Neutral haina cha U man city wala U chelsea, obvious itajaa, Stay on Topic tunazungumzia Man City na Uwanja wao unaitwa Etihad.
Usijifanye unajua ,Mimi mwenyewe Nina picha kibao Hilo li uwanja lenu OT halina fans Tena big game ...Sasa sijui unataka kusema NiniFainali UCL ni Neutral haina cha U man city wala U chelsea, obvious itajaa, Stay on Topic tunazungumzia Man City na Uwanja wao unaitwa Etihad.
Mashabiki wengi wa Man city ni wa baada ya team kununuliwa na waarabu, royal fan wachache sana anajifariji tudah umempiga na kitu kizito wamekimbia uzi wao huko wa man city auna ata wachangiaji kabisa pain killer anajichekeshaga mwenyewe tu.
Mzee picha kama hizo ,ambazo hamkujaza hapo OT zipo kibao mbuzi ...
Yaani empty seat zikiwa kibao ..
Sasa sijui unabishana Nini
Usifikili Mimi ni mtoto mdogo kijana
Ligi ya uingereza wana Protocal za idadi ya mashabiki kipindi hichi cha Corona. Old Traford msimu uliopita ilikuwa hairuhusiwi kujaza.Mzee picha kama hizo ,ambazo hamkujaza hapo OT zipo kibao mbuzi ...
Yaani empty seat zikiwa kibao ..
Sasa sijui unabishana Nini
Usifikili Mimi ni mtoto mdogo kijana
Aachiwe Ralf Aamue, ukiwapa wachezaji power sana ni matatizo.Wachezaji wanamtaka Pochetino, Ralf anamtaka Ten Hag.
Yaan wachezaji ndio wanapendekeza MP aje kikosini! (Kama ni kweli) na Bodi ikawasikiliza basi hatuna team.wanataka watu jamii ya ole hahaha wamechoka kukimbizwa jamaa wavivu sana.
@Pain killer kuna muda unatamani tukuone ni Mtu Mzima uliyekula chumvi nyingi. Lakini namna unavyojibu ni kijana uliyekimbia shule. Usikimbilie kuvaa koti, muda wako bado. Wewe ni kizazi cha pampas. Jamaa amekupa majibu na facts hizo hapo.Ligi ya uingereza wana Protocal za idadi ya mashabiki kipindi hichi cha Corona. Old Traford msimu uliopita ilikuwa hairuhusiwi kujaza.
Hii Attendance ya msimu huu
View attachment 2115026
Mechi moja tu hapo ndio walikuwa 71871 na ilikuwa ni Fa vs Middle.
Hii ni Man city
View attachment 2115027
Hamna hata Uwezo wa kujaza uwanja UCL vs Leipzig mpaka 38,000 watu.
Toka msimu huu uanze hamjajaza uwanja, mmejitahidi tu hio vs Fulham empty seat kama 2000 tu.
Pia lete source ya Empty Old Traford hizo picha za Corona katafute Wenzio maskani uwadanganye
Ila Greenwood kimemkuta Kibaya zaidi kuliko zoumaLuis Suarez bites Chiellini and Ivanovic - there wasn't any sponsorship withdrawal
Alonso killed someone with his car - got about £60k fine- playing for Chelsea.
Marguire was convicted in Greece for assault and bribery- No punishment for him
Mason Greenwood assaulted his girlfriend Harriet Robson and has been granted bail
Kurt Zouma has been fined £250k because he kicked a cat, lost his sponsorship deal with Adidas and Vatality.
Moreover, 80,000 people have signed petition to the UK government to prosecute Zouma.
Justice for Kurt Zouma
kabwili una ID nyingiHii timu kuanzia uongozi, benchi la ufundi, wachezaji mpaka mashabiki wana tabia za kimalaya malaya hivi
Kipindi cha corona league imechezwa bila mashabiki ,ni lini waliweka idadi ya watu iwe ndogo au kubwa kisa corona .?Ligi ya uingereza wana Protocal za idadi ya mashabiki kipindi hichi cha Corona. Old Traford msimu uliopita ilikuwa hairuhusiwi kujaza.
Hii Attendance ya msimu huu
View attachment 2115026
Mechi moja tu hapo ndio walikuwa 71871 na ilikuwa ni Fa vs Middle.
Hii ni Man city
View attachment 2115027
Hamna hata Uwezo wa kujaza uwanja UCL vs Leipzig mpaka 38,000 watu.
Toka msimu huu uanze hamjajaza uwanja, mmejitahidi tu hio vs Fulham empty seat kama 2000 tu.
Pia lete source ya Empty Old Traford hizo picha za Corona katafute Wenzio maskani uwadanganye
Ni wapi walisema kuwa man united isiruhusiwe kujaza fans wengi kisa corona ?Ligi ya uingereza wana Protocal za idadi ya mashabiki kipindi hichi cha Corona. Old Traford msimu uliopita ilikuwa hairuhusiwi kujaza.
Hii Attendance ya msimu huu
View attachment 2115026
Mechi moja tu hapo ndio walikuwa 71871 na ilikuwa ni Fa vs Middle.
Hii ni Man city
View attachment 2115027
Hamna hata Uwezo wa kujaza uwanja UCL vs Leipzig mpaka 38,000 watu.
Toka msimu huu uanze hamjajaza uwanja, mmejitahidi tu hio vs Fulham empty seat kama 2000 tu.
Pia lete source ya Empty Old Traford hizo picha za Corona katafute Wenzio maskani uwadanganye
hizo hapo source, december mwaka juzi EPL walitangaza tier kila uwanja, vyengine viliruhusiwa mashabiki 2000, vyengine 4000 etcKipindi cha corona league imechezwa bila mashabiki ,ni lini waliweka idadi ya watu iwe ndogo au kubwa kisa corona .?
Mbona unakuwa mbumbumbu ...
Huwezi kusema et united haijazi uwanja kisa corona kawadanfanye nyumbu huko ...
The fact is hapo OT Kuna match inakuwa empty seat ,tatizo umekaza fuvu na kujificha kwenye corona ...
Corona ilivoingia match zote zilichezwa bila fans ....
Ni wapi wameonesha idadi ya fans kuingia uwanjan kisa corona ,ni wapi Leta hio takwimu ...
Point ni hapo united hakuna empty seat ?..... mbona mnaisakama city as if nyie mnajaza uwanja kila game ..?..hizo hapo source, december mwaka juzi EPL walitangaza tier kila uwanja, vyengine viliruhusiwa mashabiki 2000, vyengine 4000 etc
Coronavirus tier system: What tier is your team in?
Everton and Liverpool are the only Premier League teams who can have fans in their stadiums following the latest announcement of the tier regulations.www.skysports.com
Which COVID-19 tier is Man Utd and the other Premier League clubs in?
Ten venues will be able to welcome fans back in the early weeks of December, after the government's announcement.www.manutd.com
mpaka mwisho wa msimu mechi na Fulham kulikuwa na mashabiki 10,000 tu walioruhusiwa source hii
Woodward update on return of more fans for start of 2021/22 season
Our executive vice-chairman is optimistic larger numbers will be able to attend the opener with Leeds.www.manutd.com
nina wasiwasi mkuu hata mpira huangalii kama hujui msimu uliopita viwanja vilikuwa havijai mashabiki.
Futa hii utakuja kuaibika siku moja ...unashabikia arsenal harafu unajipitisha na kanga mbele ya wanaume ...
Wewe dogo ni kilaza vibaya mno.Point ni hapo united hakuna empty seat ?..... mbona mnaisakama city as if nyie mnajaza uwanja kila game ..?..
Kipind cha corona tulicheza bila fans ,na ndio order ilitolewa ....
Unaniwekea link za kijinga nifanyeje Mimi
Wewe ni fala corona imeanza mwaka juzi unajua hii ilikuwa mwaka gani mpumbavu mkubwa weweWewe dogo ni kilaza vibaya mno.
Sisi hatukujaza kwa sababu ya katazo..lakini City hata bila katazo hawajazi uwanja.
Emptyhad.