Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Limaguire kumbe toka liko Leicester ni famba, nimecheki mistakes zake YouTube zipo nyingi tu toka akiwa Leicester, sijui scouting inafanya kazi gani?

Even me nayecheza fifa naweka scouting sehemu nyingi na kureview wachezaji.

Asee now naona dawa ni kuwa na Tajiri ambae hela zake zinamuuma sio hawa Glazer ambao wanachota tu.
 
Mods futeni huu Uzi ,hakuna timu tana hapa ...hili ni genge la wahuni tu jf ...

Kuna Manchester moja tu duniani, Manchester city ...!
 
Old trafford hairuhusiwi kujaza kipindi cha Corona, ila kikawaida haijawahi kuwa empty siku zote mapema tu Tiketi zinaisha. Na sometime inajaza kuliko hata Uwezo wake.

Man city ni Vipara tu kuwe na Corona, iwe xmass, kutangazwa Guardiola, fainali etc.

Hii nusu Carabao, Uwanja ni 55000 ila Attendance ni 33,000 tu




Man u mpaka Europa Inajaza.
 
Hairuhusiwi kujaza kipindi cha corona ??

Kipindi cha corona hakuna Timu iliyoingiza fans ,unaelewa mbuzi ...

Hapo old Trafford mlishawahi kustruggle kuuza ticket na seat zikabaki empty unaelewa mbuzi ...

Usijikute kuwa united ni special team kivile ,yaani ni mid table team Kwa Sasa imeyojifia kutwa instgram kupost mababu zenu waliyofanya ....

Wewe katafute team nyingine ya kubishana ,huna uhakika na top four unasimama mbele ya champion unabwabwaja ....
 
Mzee picha kama hizo ,ambazo hamkujaza hapo OT zipo kibao mbuzi ...

Yaani empty seat zikiwa kibao ..

Sasa sijui unabishana Nini


Usifikili Mimi ni mtoto mdogo kijana
 
Leta final CL mwaka Jana tuone hizo empty seat ....

Kumbe unasema Europa ,sisi kuliko kucheza europa Bora tukafanye mazoezi ,au wachezaji wakale bata na wake zao ....Europa is for failure team ...


Ndio maana huwezi kuta team kama man city ,psg ,buyern Munich ,real Madrid huko
 
Fainali UCL ni Neutral haina cha U man city wala U chelsea, obvious itajaa, Stay on Topic tunazungumzia Man City na Uwanja wao unaitwa Etihad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…