Hii timu naacha kuifuatilia kwa muda mana hovyo kabisa, timu inashindwa kulinda ushindi kabisa na kusajili haitaki, mpk leo beki magwaya na ndio captain, tunalaumu makocha bure kumbe tatizo timu nzima hasa viongozi, najitoa kwa muda [emoji114]
Kweli na hawaja kuangusha.Magwaya na varane hawawezi kuniangusha, ni swala la muda tu
mkorea Ni mwenzetu mkuu hahahaahahahKweli na hawaja kuangusha.
[emoji16][emoji16][emoji16] ananichukulia mimi nyumbu!!mkorea Ni mwenzetu mkuu hahahaahahah
Cristiano Ronaldo wa Ole, alikuwa anascore karibia Kila mechi. Lakini huyu wa RR mmhh!!!!Cristiano Ronaldo has scored 3 non-penalty goals in his last 16 games.
Hakuna atakayetoa hata hiyo 5..Hivi Maguire hakuna timu yenye ata paund 5 tuwape tu.
Jamaa lilikaa offside at the same time likacommit fauloLile goli angekua bissaka au linderof angeweza asifunge ila maguire hata kulala simple tu kumemshinda kampisha hata kumpush kidogo basi dah bichwa lile.
Limetunyima ushindi jana maana limekaa offside tumekataliwa goli limeshindwa kukaba tumefungwa.