Manchester United (Red Devils) | Special Thread

bebe, manucho kutoka angola, mame diouf, alexander buttner. tulitegemea zaidi miujiza ya fergie pamoja na udhaifu wa top 6.
Watu tulioshindwa kuwasajili.
1. Luka Modric
2. Manuel Neuer
3. Wesley Sneider
4. Lewandoski
5. Eden Hazard
6. Lucas Moura
7.Vicent Company
8. David Silva
9. Ikay Gundogan
10. Toni Kroos
Katika kundi lote hili ukiondoa Wesley Sneider wengine wote waligeuka kuwa mihimili ya timu walizoenda kwa misimu zaidi ya 8.
 
Defense yetu imechambuliwa kama katanga. Ila tufunga mawili au matatu. Mood ni nzuri.
 
Lucas moura na Ni mhimili ? Psg au Spurs !?
 
Ongezea:-
11.Roberto Firmino
12.Nicholas Gaitan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…