Hakuna shabiki wa mpira mwenye emotional intelligence kubwa.Moja ya mashabiki wenye emotional intelligence (EQ) ndogo sana barani ulaya ni waingereza yale mazungu majinga sana.
Huwa timu zao zikipata matokeo mabovu na ikatokea mchezaji mweusi kachoma atajuta kuzaliwa ulaya. Pia IQ za baadhi ya mashabiki wa kizungu ziko chini sana (single digit).
Usajili wa chupli chupli wa United ndiyo uliotufikisha hapa.gabriel obertan, antonio valencia na michael owen ulikuwa ni uwekezaji dhaifu kwa timu ambayo imepoteza wachezaji wawili wenye uwezo wa kuchangia magoli 50 kwa msimu kwa pamoja. Pia tokea aliposajiliwa anderson kutoka porto klabu haikufanya uwekezaji mwengine wa kiungo kwa miaka minne ya mbeleni na ilifikia hatua ya kumrudisha scholes. Hata wale graduates kutoka academy hawakuwa na careers zenye matumaini.
bebe, manucho kutoka angola, mame diouf, alexander buttner. tulitegemea zaidi miujiza ya fergie pamoja na udhaifu wa top 6.Usajili wa chupli chupli wa United ndiyo uliotufikisha hapa.
SingeliNinyi mashetani mnacheza Leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maradhi mengine mnajitakia wenyeweTumbo langu limejaa gesi
Habari wana jamvi. Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri. Sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba msaada ila choo bado na pata... Ushauli tafadhali.www.jamiiforums.com