Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tumecheza vizuri, tumepot3za nafasi nyingi.....la msingi msimu ujao tuwe na namba 9 ya kueleweka Ronaldo umri umeanza mtupa mkono
Mkuuuu syo umeanza kumtupa mkono tayari hakuna kitu miaka 36+ bado kijana tu hapna mkuuu hyo ni kibabau cha makumbusho
 
Hamna chenu top 4 muisahau, uefa soon mtaachia ngazi.
 
Ninachokiamini mimi;
Msimu huu top 4 hakuna sababu ya kushindwa kusajili wachezaji wa kuimarisha kikosi,matokeo yake tutashindwa kuwavutia wachezaji wazuri wanaotaka kucheza UCL msimu ujao.
 
Sio kwamba Jana mmecheza vibaya ...

ila jina la red devil limewaponza ...no lucky kabisa
 
Nyie kenge amkeni pumbavu, jana mmetulia hela zetu, hakuna ruhusa ya kulala
 
Yule nyumbu anaezunguka na kupost utopolo wake kwenye majukwaa ya WANAUME bado amelala?
 
Ushoga mtupu.

Nililewa nikaja kushtuka kipindi cha pili..vijamaa vinaruka ruka tu..

Nikaja kujua pia Ronaldo kakosa penalt.. wtf,..Ronaldo ndo anayefanya Fernandes aonekane choko uwanjani.

Note:nina shots kadhaa kichwani.
Mmeshaanza kuitana machoko sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…