Hahahaa mule mule Jombaa niliongea lugha ya kidiplomasia. Umagharibi ni unafiki.Kule Malaya ni kama unanunua ukwaju wa azam.
Wachezaji weusi wengi wakipata hela hataki weusi wenzao..dongo kwa greenwood ? timing ya post na caption ! anafurahi atacheza dogo alikuwa anamnyima nambaView attachment 2103373
Nifunguen kwan green anatuhuma gani
Huko kwao hata kama ni mke wako akikunyima mbususu ukampa kipigo, basi utajua hujui ,...Kabaka au mwanamke alimgeuka
KwelHuko kwao hata kama ni mke wako akikunyima mbususu ukampa kipigo, basi utajua hujui ,...
Yule ni demu wake wa siku nyingi, inaonekana , demu alikuwa hajisikii kusex, Jamaa akawa analazimisha, na hata akampiga. Kiulaya inahesabika kuwa umebaka.Dogo mpuuzi kweli, yaani hela anazo umaarufu anao yaani anaweza chukua pisi yoyote yule. Eti anaenda kubaka seriously kabisa
Yule ni demu wake wa siku nyingi, inaonekana , demu alikuwa hajisikii kusex, Jamaa akawa analazimisha, na hata akampiga. Kiulaya inahesabika kuwa umebaka.
Japo ukiangalia kiundani demi naye amejipatia nafasi ya kumpiga hela Dogo na kujitangaza zaidi. Yaani kiufupi ametumia fursa. Siku hizi haki nyingi ni za wanawake, wanaume ukimgusa tu mwanamke negatively basi dunia inakuwakia
Bodi inataka ifanye nini na Lingard huku next summer atakuwa free agent?..au kuna mkataba mpya mezani umeandaliwa kwa ajili yake?Ralf amemruhusu Lingard aondoke United.
Board ime-block Lingard kuondoka.
Sasa naamini tatizo kubwa kwa hii timu lilipo.
Bodi inataka ifanye nini na Lingard huku next summer atakuwa free agent?..au kuna mkataba mpya mezani umeandaliwa kwa ajili yake?
Phil Jones amekataa kwenda Bordeaux.Bodi inataka ifanye nini na Lingard huku next summer atakuwa free agent?..au kuna mkataba mpya mezani umeandaliwa kwa ajili yake?
Binafsi naunga mkono kutosajili kabisa msimu huu.Transition of power kutoka kwa Ed to Rich nadhani ndio sababu iliyotufanya tusifanye usajili mana lawama kama tungesajili flop ingeenda kwa Ed, nani anapenda kulaumiwa wakati hayupo in position???.
Pia tupo kwenye kuondoa mizigo hivyo huwezi ondoa yote vuuuu, ni process of replacement so tutulie kidogo RR sio mzee wa panicking.
You're right..hakuna haja ya kusajili kocha mpya ajaye asijekupata shida kwa kutokuwataka hao new signings wa hili dirisha la january.Binafsi naunga mkono kutosajili kabisa msimu huu.
Maana hatujajua kocha anaekuja ni nani? Anakuja na falsafa gani? Na atahitaji wachezaji wa aina gani.
Dirisha lijalo litakuwa busy sana. Wachezaji wengi wanaondoka, wengine mikataba itaisha, wa mikopo watarudi.
Mambo yatakuwa mengi sana.
Ralf amemruhusu Lingard aondoke United.
Board ime-block Lingard kuondoka.
Sasa naamini tatizo kubwa kwa hii timu lilipo.
Mkurugenzi wa ufundi anabakiwa na majukumu gani sasa?
Huyu aliyepo alikuwa figurehead tu, without any real power to influence football matters. Ed Woodward ndiye aliyekuwa ana-oversee transfers. Mfano mzuri ni usajili wa Cristiano Ronaldo.
Kikao cha kumfukuza Ole walikaa watu wanne Avram Glazer and Joel Glazer via Zoom, Ed Woodward and his expected replacement, commercial director Richard Arnold.
Sporting directors and directors of football at European clubs are often given power over a manager’s future, or at least a say. On John Murtough, his job is purely an advisory role.
Interim manager baada ya hapo ata-move up the hierarchy in a de factor Sporting Director position (consultancy role with power to shape the club in his vision).
Ndio jambo kubwa na la msingi United tumefanya kwenye dirisha hili la usajili la January.