Pia ilikuwa vizuri kumuona Darren anarudi uwanjani baada ya mwaka mzima, hopefully atatusaidia kwenye midfield
Ingawa game ilibadilika sana after 10mins pale rooney aliporudi kati, hivyo utd kuanza kutengeneza nafasi, hivyo kiungo bado kinahitaji kuimarishwa
Vilevile A Villa hawakuwa vizuri full back left wao alikuwa very poor, viungo wao walikuwa hawarudi nyuma haraka na Benteke alikuwa isolated most of the game
Bado 10pts kuwafikia arse8, hopefully before february tutakuwa juu kwenye msimamo wa ligi
Halafu arifu, goons si ndo zenu...nasikia jana Nemo aligoma hata kuwasalimu mashabiki wa goons!! Huku Wheelchair akionyesha middle finga kwa mashabiki wa Shitty........