Jezi kali baada ya kipindi kirefu, hawa Adidas ni kwasababu wanatoa offer kubwa tu ila Nike miaka ya karibuni wapo vizuri zaidi yao. Adidas anampatiaga Arsenal tu.Prediction of how #mufc's 2022/23 home shirt will look. A source says it's more than 90% accurate to the official adidas design
View attachment 2088064
Yote hayo ni maingereza, ss subiri vurugu atakazopewa RR.
Wako vizuri tuMechi 19 zilizopita, Ajax wamefungwa goli 4 tu.
Maswali ya kujiuliza;
1. Kocha mzuri?
2. Kikosi kizuri? & Beki imara?
3. Ligi nyepesi?View attachment 2086188
Tulicheza 433 vs Villa pia leo i think ni hio hio.Leo ingependeza tuanze na strike mmoja mbele maana strike mbili kama zimetushinda hivi.
433 yenye one holding na two 8's..Tulicheza 433 vs Villa pia leo i think ni hio hio.
Forward watatu na midfield watatu.
Jezi kali sana baada ya kutoa vibovu kila msimu kwa hiyo nawapa gwara.Prediction of how #mufc's 2022/23 home shirt will look. A source says it's more than 90% accurate to the official adidas design
View attachment 2088064
Ujinga ndo unaanzia hapa..westham walileta ofa nzuri tu mwaka jana lakini tukagoma..sasa acha aondoke free mwezi wa sita.hii timu inawatu wanamaamuzi ya kishamba sana newcastle wanamtaka lingard wao wanakomaa na lingard wala hachezi ss sijui wanambakisha wa nini
Shida inakuja kwamba cku hz kumekuwa na upumbavu flani hivii yn man u akitaka mchezaji anapigwa bei kali hata kama ni mchezaji wa kawaida, lkn man u anapotaka kuuza wanataka wapewe kwa mkopo na mshahara tulipe cc, na hata huyo mchezaji aki perform vzr huko alipo kwa mkopo tukitaka kuwauzia wanataka kutoa pesa wanayotaka wao, huu ni umama wa kiwango cha chupa ya pepsi, wacha wabaki au waondoke bure kuliko huu ufalamanga tunaofanyiwa.hii timu inawatu wanamaamuzi ya kishamba sana newcastle wanamtaka lingard wao wanakomaa na lingard wala hachezi ss sijui wanambakisha wa nini
Aisee haikuwa offer nzuri, most of time ilikuwa ni Around 10m.Ujinga ndo unaanzia hapa..westham walileta ofa nzuri tu mwaka jana lakini tukagoma..sasa acha aondoke free mwezi wa sita.
Jaribu pia kumfuatilia Ruben Amorim yupo Sporting Lisbon hii ni rekodi yake toka amepewa timu mwezi wa 3 mwaka 2020.Mechi 19 zilizopita, Ajax wamefungwa goli 4 tu.
Maswali ya kujiuliza;
1. Kocha mzuri?
2. Kikosi kizuri? & Beki imara?
3. Ligi nyepesi?View attachment 2086188