AC Milan wanamuhitaji Eric Bailly, ngoja tuone viongozi wakuu watachukua hatua ipi.
Si ajabu tunaweza kuambiwa eric yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya klabu.
Chanzo cha matatizo ya mufc ni ferg na wachezaj wake wa zaman wanapenda sana kumpangia kocha waingereza wao ni kipao mbele cha kupata nafac wachezaj wa zaman wote watimuliwe na ferg
Anachofanya kocha ni kuwakata midomo wachezaji, kuwaporomoshea lawama ambazo makocha wengine waliporomoshewa kifupi anajihami. La mwisho anajaribu kuwakata masikio wachezaji ambao masikio yao yalianza kuzidi vichwa😅
Anachofanya kocha ni kuwakata midomo wachezaji, kuwaporomoshea lawama ambazo makocha wengine waliporomoshewa kifupi anajihami. La mwisho anajaribu kuwakata masikio wachezaji ambao masikio yao yalianza kuzidi vichwa
Ronaldo hana cha kujirekebisha, anachocheza sasa hivi ndiyo kiwango chake umri umeshaenda hawezi kufanya mambo aliyokuwa anafanya akiwa na miaka 18. Young players wana cha kujifunza kutoka kwa Ronaldo, haiwezekani mtu aliyeshinda karibu kila taji kubwa Ulaya na Duniani awe na mentality ya ushindi kushinda mtu ambaye hajashinda chochote zaidi ya Europa na FA Cup.