Wachezaji wetu wengi ni average sana na ukiongezea work rate yao kuwa chini ndipo wanaanza kuumbuka mwishowe wanataka kulalamikia mwalimu kila siku.hata Ole gunnar na benchi lake la ufundi likiongozwa na Kieran McKenna walivurumishiwa mvua ya maneno kama hayo matokeo yake na sisi mashabiki pamoja na wapenzi tukaingia choo cha kike kwa kuwaamini kwa haraka wachezaji na madai yao ya udhaifu wa benchi la ufundi.
amekuja ralf na falsafa zake za kibabe ameanza kuletewa hadithi kama zile za Ole.
kama bodi itawasikiliza wachezaji na madai yao tujiandae na anguko la milele kwa sababu hatokuja kocha mwengine yeyote atakayeweza kuwacontrol hao wachezaji na upumbavu wao.
Rangnick: "Showing up in training, showing up, getting a chance to play. If this is not the case, the player, club, and agents need to discuss the situation. I cannot say to anyone else. I will address that to the players directly." #muliveRangnick: "Those players [who get little game time] are unhappy about the situation, it's obvious, clear. I tend to explain to players every two or three weeks why they are not playing and that is an issue in our team and other clubs." #mulive
Hii kauli imenifanya nicheke peke yangu hadi machozi.Kweli matatizo yameamua kuiandama hii timu.
Huu ujinga nimeuona mahali nami nikashangaa sana.[emoji599] Klabu ya Manchester united imeripotiwa kumpa mkataba wenye ofa ya mshahara wa £500k kwa wiki kiungo paul pogba,ambapo pogba akisaini mkataba huo atakuwa ni mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya ligi kuu uingereza.[@MailSport ]
Hivi Ronaldo mwenye miaka 37 anawezaje kushawishi aina ya kocha wa kuhudumu kwa muda mrefu pale united?Doubts are already being expressed over Rangnick's training techniques and the calibre of coaching staff he has brought to #mufc after Chris Armas and Ewan Sharp joined United until the end of the season [Daily Mail]
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2072058
Watakua wapumbavu wa mwisho.[emoji599] Klabu ya Manchester united imeripotiwa kumpa mkataba wenye ofa ya mshahara wa £500k kwa wiki kiungo paul pogba,ambapo pogba akisaini mkataba huo atakuwa ni mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya ligi kuu uingereza.[@MailSport ]
Kazi kazi wapuuzi watuachie timu yetu huwezi kuwa professional player hata kupiga pasi mnyooko unashindwa halafu useme shida ni kocha hapana hawa watu hawana passion tu.Nasemaje! Safari hii hakuna fala atapona.
Pole vumilia mkuuNasemaje! Safari hii hakuna fala atapona.
Pombe mbaya sana mkuuu huyu kalewa ndio anawadanganya wenzake poleNasemaje! Safari hii hakuna fala atapona.