Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa maoni yangu cavani na ronaldo ni liability tunahitaji watu wq kazi wenye speed na kasi kubwa ambao wataleta tishio kwa mabeki sio sasa rashford akili ya mpira hana kati bado hatujapata watu nyuma napo bado kifupi timu haiko sawa cha kushangaza hii timu michezaji inalipwa hela nyingi kazi haifanyi
 
Hamna wachezaji tena!

Si mlitamba kwa mbwembwe nyie na mkasema ronaldo sasa ni man utd
 
✓Vibabu viwili kule mbele..

✓Vitoto viwili vya kiingereza on flanks ambavyo vinacheza sometimes kama vitoto vya darasa la kwanza

✓Right back wa hovyo kabisa kuvaa jezi ya Manchester United.

✓Impotent midfielders...Too inconsistent.

✓Captain mlevi

✓Kocha maneno mengi.

Hii timu hii itatuua.
 
Sijui ni kwa nini watu hawalioni hili..

Cavani na Ronaldo ni mizigo...nitashangaa sana kama msimu wa 2022/2023 watabaki.
 
Wacha bwana

Kutoka kuwa na wachezaji bingwa hadi kuwaita vibabu,vilevi std1
Hahahahahahahh!!!!nacheka kwa furaha
 
Tulia kwanza tufanye gengeni presi ushindi badae

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hatuna hao wachezaji wa kutengeneza iyo pattern anayotaka kocha...
 
Tumefungwa ila muelekeo umeonekana


Nawaza tu miaka mitatu huko kambini sosha alikua anafundisha nini kaacha timu ambayo haina muunganiko kabisaaa...
Man U hata aje kocha gani, hakuna wachezaji pale.. mtu kama Wan Bissaka sijui anakupa kitu gani yani, krosi hawezi, kuturn shida.. msimu ushaisha kwa Man u wafanye kuangalia tu kuangalia sajili za msingi za kufanya na kuoff load mizigo iliyojazana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…