Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera Kwa kufunga
 
Team imejaa wehu tupu si kocha wachezaj mashabiki
Mashabiki na kipa watoe kwenye orodha ya wehu.
Yaani kwa hii timu ni bora hata majimaji ya songea wanacheza mpira unaoeleweka, yaani hata hio nafasi ya 7 sijui tumefikafikaje, ilitakiwa tuwe kule kwa kina New castle.
 
Iliishangaza football world United kumuacha Conte aende Spurs
Sijui waliwaza nini....huyu kocha hakuna alichobadilisha mkuu zaidi ya formation

Imagine tunapoteza pass hata 10 hazifiki, kucontrol mpira na pressure shida, tunacheza na striker wawili ila shot on target hazizidi hata 4.....ninauhakika hakuna kocha wa kutupeleka namba 4 hapa
 
Sio kwamba hazizidi 4, ni 2 boss
 
Nakubaliana nawe. Sidhani kama mtaweza kupata namba nne.

Nadhani mtanange wa namba nne sasa mumuachie Arsenal, Spurs na westham
 
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole

Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
Kazi yake ni kuwafundisha pale alipoacha mwenzie haijalishi kasajiri yeye au ole mkishinda mbona hamsemi hivyo

Yeye si kocha wa makocha mbona wanafunzi wake wanafanya vizuri darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…