Dk ya 27, Antonio anakosa hapa...Rooney naye anakosa hapa...lah!!!
tena mkubwa tu.Leo ushindi kwa
Man United😛oa
naona michuzi jr wa jf unaanza mambo yako wapi mfarisayo mwambie leo mmeokota pochi sokoni..
kwa style hii yalomkuta arsenal ndo vila yanawapata..
Chezea Man Utd weye
Goal: Welbeck