Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa leo Scott McTominay au Nemanja Matic wapewe tu jukumu la Harry Maguire. Japo Phil Jones alikuwa kitasa enzi za Sir Alex Ferguson nowadays amepoteza Imani kwa mashabiki.
 
PHIL JONES , ngoja tuone ana nini cha ku-offer kinachomfanya abaki Manchester United miaka yote hiyo bila kuitumikia club.

Hii mechi ndo itatuambia kama kulikuwa na sababu ya kuendelea kumkumbatia au ni ndugu wa Glazers.
 
Leo tuko na Mbwa Mwitu mwanzo mwenga.
Mtajua hamjui.

Adama Traore, mwili ni wake mapafu ni ya Mbwa, anakuja na mafuta kabisa kipindi cha pili msije kukimbia.
 
kama kawaida, kosi la dunia dimbani na legend wetu mwenye ligi kuu yake begani phil jones mzee wa backhead deffence the balon dor contender, na formation ni 4, 2, 2 ,2. kitaumana
 
Yani leo na hiki kihere here changu cha kuangalia hii mechi daaah sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…