Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Kwanini mbappe anataka kwenda Madrid??Madrid na Barcelona waliisha kwisha, the balance of football has shifted to UK. Chelsea, City, Liverpool, Man Utd, Arsenal, Tottenham zinauwezo wa kuattract mchezaji yeyote duniani bila ushindani mkubwa kutoka nje ya UK, labda hapo Ujerumani kidogo
ndoto zake za utotoni.Kwanini mbappe anataka kwenda Madrid??
Basi ujue barca na Madrid bado hawajafulia kama ulivyosema hapo juu ,bado ni timu zenye ushawishi mkubwandoto zake za utotoni.
Huyu twaha mzembe na aende zake
Chelshit afungwe tu pia fresh mashabiki wa liva mtaani kwangu wachacheThe best results mechi ya Liver na Chelsea ni Droo.
Huyo ni team Messi, hapo hamtaelewana mpaka kiamaDuuhh umeshafika huku mkuu, unajua wewe ni miongoni mwa wanaoaminika humu so punguza msg za emotions mkuu.
Hawana mipango uzembe wa liver kupanda wakati wanaongoza goli mbiliHawa Chelsea
Team messi ndy wanaotaka cr7 apigwe bench haraf ukiwaulza mbadala hawasemi apangwe naniHaieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani.
Usitupangie formula we sahisha jibuNa nyie mkicheza na timu kubwa mtoe burudani.. sio mcheze cheze tu ilimradi.
Si mmewaona jana Arsenal walivyojikaza. Na leo tunaburudika kuangalia kandanda safi kutoka kwa Liva na Chelsea.
Cr7 ataendelea kum prove wrong mwisho atakaa kmy mwenyewe, mbn cna wasi wasi kabisaHuyo ni team Messi, hapo hamtaelewana mpaka kiama.
Mkuu wolves ni wanyama hatari ...wamemkazia Liverpool ,city ,Chelsea sembuse hawa Wala ulojo wakina Sancho ...wataweza kweli kufungua ule ukuta wa wolves. Mkuu acha roho mbaya
kwa mujibu wa muandishi anayeitwa james ducker anasema ralf pia amezuia kuondoka kwa Donny van de beek dirisha hili la january, ralf anahitaji kuwa na kikosi kikubwa ili kujiandaa na changamoto yeyote itakayojitokeza hususani ya corona.Kwenye press ya rangnick. Kunadehemu anasema
"I know from some players that they want to leave. We spoke about Edi [Cavani] and he knows I definitely will not let him go."
Hao players kwamaelezo yake mengine, nafikiri ni Donny van de beek na Martial maybe na lingard....waende tu
Asubuhi yote hii unaamkia umbeya kwenye nyumba za watu?wazee wa gengeni press wasukuma magengenyumbu n nyumbu2 mkajiona mtakua wapya na gengen yenu kumbe tunawachora2