Conte kaleta impact na kila mtu anaona, Man United sio timu mbovu, kocha kashaonyesha hana uwezo, mkitundikwa mechi zaidi mtaelewa keshoWazee muacheni RR wa watu, team ni bovu halafu angalia mazingira aliyokuta hapo kumbuka carrington imefungwa na team haijacheza siku ngapi.. kila team ina matatizo yake na udhaifu wake ukienda kwa mashabiki wa Spurs uliowasemea unajua ni kias gani wana lalamika au unadhani huyo Conte angekuja ndio matatizo ya team yangeisha ndani ya mwezi mmoja?
Inawezekana maana Conte, steven Gerrald, Ancelloti pale nadrid, wamepata direct impact hata solskjaer alipata direct impact.....labda ni suala la kuimplement mfumoConte kaleta impact na kila mtu anaona, Man United sio timu mbovu, kocha kashaonyesha hana uwezo, mkitundikwa mechi zaidi mtaelewa kesho
kuna muandishi ameandika uvumi ufuatao anadai ndio unaoendelea ndani ya klabu (dressing room): Nitaziamini hizi habari kama zitakuja kuandikwa na waandishi mfano wa simon stone, james ducker, whitehill au luckhurstKwa hali tuliyofikia Man united tunahitaji a pragmatic Manager than a football philosopher.
Manchester United kwa sasa ina wachezaji wengi ambao ama hawawezi tena kuchezea Man United au hawataki tena kuitumikia timu.
umeona vituko vya wachezaji wa duniaMan utd timu lenye wachezaji wavivu duniani
Kocha hawezi kufoka ndani ya dressing room ,anabembeleza
Man utd tatizo lao ni baadhi ya wachezaji walishajiweka ufather kwenye club ,yaani hawawezi kutoka club hapo eg rashford....mbaya zaidi sio wapambanaji na hawana uchungu na jersey ya united ....kocha anawabembeleza ....kila mtu anamwogopa mwenzake , captain magwaya anamuogopa Ronaldo ...Bruno anamuogopa Ronaldo ,kocha anamuogopa Ronaldo ...uvivu na mapuuza ni mengiumeona vituko vya wachezaji wa dunia
View attachment 2061730
Umeongea point sana kaka, RR sio tatzo tatzo ni wachezajiKocha awe mkali kidogo.
Nakumbuka Arsenal aliteta alipochukua kazi na mwenendo wa timu. Seniors players ndio walikua tatizo, malazys hawapambani kisa Mshahara unaingia.
Alipoopt madogo wenye njaa ya kushine, smith rowe, Tierney, Saka, Martinel, Sambi Lokonga, Tominayasu.
Naona timu inaeleweka.
Man U, kocha asiyeangalia jina ndio dawa. Piga wote benchi awe Ronaldo au nani vile, chukua dogo wa academy changanya na seniors walio tayari kujitolea, kina Cavani, Bruno.
Mbona mimi naona Amadi na Elanga wako vizuri upande wa Rashford muhimu kuwapa motisha kuwa wakifanya vizuri Rashford anaoza benchi.
Tofauti na sasa madogo wanaamini ni wa kutumika mechi za kindondo Carabao, huko.
Naaamini huenda tukawa na mwanga, maana hata seniors watajua hawajui, kuwa now hakuna kuchekeana.
Pia naamini hivi;
TIMU YOYOTE INAYOWEZA KUSHINDA MAKOMBE MENGI NA KUWA NA CONSISTENCY NI ILE INAYOTENGENEZA MASTAA na sio INAYONUNUA MASTAA WALIO NA ATTITUDE TAYARI. Cheki man u ya Babu Fergie, ilikua ya kuzalisha mastaa wa kuletea mafanikio akiona unaanza attitude anakupiga bei haijalishi uko on form.
Liverpool icheki, inang'aa kwa kutengeneza mastaa hawasajili mastaa.
Ndio inafanya mishahara midogo output kubwa.
Njoo kwetu, Rashford attitude, Pogba Attitude, Ronaldo Attitude, Bruno huyo attitude, Mason Greenwood (dogo naona akipotea ashajaa upepo toka aanze kuchora tattoo attitude imezidi) bishoo martial attitude, Ukiangalia wachezaji wenye attitude ndio ambao hatuna Sub za kueleweka inakera na ndio wanafanya mambo magumu.
Cheki Donny yuko positive ( hadi huruma)
Amadi yuko positive ( hana attitude si mliona aliomba msamaha kwa kukosa chances, Rashford na Martial walituomba lini).
Ifike muda Tupige bei wote wenye attitude tuwe tunaleta chipukizi wenye njaa waliotayari kufia nembo.
Bruno naona kakata tamaa na attitude nyingi kaona liwalo na liwe.
Na hapo bado Labile hajaja kuanza vurugu zake.Wachezaji wamelelewa kifala, njia pekee ya kuondoa ujinga kama huu ni kuwaondoa waongoza fitina.