Mzee wa gen gen pressingRalf Rangnick, headteacher of Jurgen Klopp's gegenpressing, matron of Thomas Tuchel's haram football. Secretary of good press conferences.
Founding father of german football has been schooled by Newcastle United.
But you knew that already.
Fred anasahihisha makosa ckuiz Fred ni mzuri sana uwanjani ila magwaya......hii bangoshaaTeam yangu ningependa January inapo anza, watu kama magwaya,Fred,lindlof,varane,Anthony Masho,MC tomin, rashid na bissaka, tusiwe nao tuweka watu wapya wenye kasi na wenye uwezo wa kutoa pass za Uwakika hata 8kwenye10, bila ivo tutafukuza makocha kila msimu,
Mkuu umeangalia mpira Leo? Fred ni nini?Fred anasahihisha makosa ckuiz Fred ni mzuri sana uwanjani ila magwaya......hii bangoshaa
Duuh..
That was shi.t.
Fred anasahihisha makosa ckuiz Fred ni mzuri sana uwanjani ila magwaya......hii bangoshaa
Lizito lile kama mfuko wa cement
sijawai kumuelewa na Fred sio mchezaji wa level ya man uyo ilitakiwa awe Leeds huko, na mwenzie MC,wakamwombe bwana Sosha msahama nini..dah!Mpaka mkamwombe sosha msahama.