Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uchambuzi ni kama kupiga ramli tu.
Sasa man city na liverpool wakimaliza juu ya chelsea wote ni mabingwa?

German genius TT honeymoon imeisha tangu alipocheza na united yetu
 
Mkuu umeongea kikatili sana dhidi ya hawa jamaa.
Hahaha! Wote ni wachezaji wazuri ila mchezaji kama Jones muda wake wa kucheza kwenye ligi ya ushindani ya Premier League umeshaisha. Martial naye ana kipaji ila hajafikia Potential Ability yake halafu sasa hivi anatoka anasema anataka kuondoka United kwasababu hapati namba kikosi cha kwanza, unaweza kujiuliza Martial muda wote aliopewa kipindi cha Solskjaer kile alicho-deliver ndiyo anaona kabisa ni level ya timu kama United!?

SELL SELL SELL SELL SELL!
Pale kikosini wapo wapuuzi wengi sana tu, nawaita wapuuzi kwasababu they're professionals ila vitu wanafanya ni upuuzi tu uwanjani. Mchezaji kama Rashford: what a player! Ila akiwa uwanjani badge ya United upande wa kushoto anacheza kama mchezaji wa Chelmsford City. Mechi moja anakufurahisha, mechi kumi anaboronga the same kwa Pogba, no consistency japo mechi kumi tu.

Kikosini wapo wachezaji wengi tu siyo levels za United na kama uongozi hautabadilika kwenye sajili wanazofanya tutakuwa tunauza average players tunanunua overrated players tunakuja kushtuka kuwa ni average players tunauza tena tunanunua overrated players na itaenda hivyo miaka na miaka. Hasa hawa watoto wa Malkia wanatupotezea muda sana timu ingefanya tu ile namba ya wachezaji wa Kiingereza wanaohitajika kwenye timu iwe inatokea kwenye academy.
 
Tanzania wachambua Tembele ni wengi kuliko wachambua soccer.

Hapo alitanguliza mahaba badala ya uhalisia.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mie nashangaa kwanini ligi za nchi nyingine kama ujerumani na hispania bado covid kwao sio tishio?
Mkuu hili janga kila mtu anapambana kivyake.

Ukuangalua German tangu wapigwe na wimbi la kwanza walipovuka walijitahidi sana kucontrol huu ugonjwa wimbi la pili na tatu kulikuwa na case chache sana.

Ila this time naona Uingereza imepigwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…