Manchester United (Red Devils) | Special Thread

timu itakayomaliza juu ya chelsea ndiye bingwa, hayo ni maneno ya george ambangile.
ngoja tuone, si ajabu kati ya arsenal au man utd anaweza kuwa juu ya chelsea kama wataendelea hivi sasa sijui na wao watakuwa ni mabingwa.

muda huu chelsea na wao wanaomba ligi isimame kwa kisingizio cha CORONA, wana uhakika gani wa kupata ushindi kwa wolves yenye safu ngumu ya ulinzi huku wao performance yao ikiwa ni dhalili.
 
Naunga mkono hoja
 
Ambangile na yeye mihemko ilimzidi ,alishindwa kuangalia mbali kabisa ....!

Aliona ile bus parking ya Chelsea dhid ya timu kubwa kuwa ndio inaweza kuwapa ubingwa ...!


Yale maneno siku hizi hatamki Tena
subili kesho nimfuate dm nimkumbushe hayo maneno kudadekiii ....

Mchambuzi mzuri lakin anajuta kutamka maneno magumu Kama hayo mbele ya umati ,ona Sasa Leo anadhalilika hadharani,
 
Ujinga sn sn toka nchi za magharibi.Wapo very selfish ktk maisha.Sijui wamelitengeneza liugonjwa kwaajili ya agenda gani hasa?

Bora Mungu ateketeze hiki kizazi.
Alafu wanaleta chanjo, sasa chanjo za nini sasa kama watu bdo wanaugua?
 
Ambangile amechemka big time..chelsea hawatomaliza big two..
 
Mkuu Atlético wa sasa sio wale wa enzi za Falcão, hawa wasasa ni vibonde South africa.

PSG wanawatu ambao wakiamua kudai chenji yao lazima uwape, lakini Atlético hawana watu hao.
PSG ni timu ambayo hata first leg wakikufunga nne unaweza ukazirudisha second leg.

Atletico ni timu ambayo ikikufunga first leg hata goli moja tu unahitaji maarifa mara tano zaidi kuwafunga kuliko PSG.
 
Hata round ya kwanza bado bwana pep, usitambe sana
 
  1. jesse lingard
  2. edinson cavani
  3. phil jones
  4. juan mata
  5. nemanja matic
  6. anthony martial
  7. dean henderson
  8. paul pogba
ralf rangnick aliwahi kusema "ni kheri usisajili mchezaji kuliko kusajili mchezaji ambaye haendani na mahitaji yako",
hivyo ni matumaini yangu madirisha ya usajili yanayofuata tutakuwa wakatili kwa kufanya uamuzi wa kuwaweka sokoni. Endapo klabu itafikiria uamuzi wa kuwaondoa wachezaji tajwa hapo juu itakuwa imeokoa takribani paundi millioni 1 zinazotolewa kila wiki kulipia mishahara ya wachezaji tajwa hapo juu.

cha kushangaza na kustaajabisha kati yao hakuna hata mmoja anayecheza kikosi cha kwanza.
 
Henderson asiuzwe, apelekwe Ajax on loan. Hao wanaobaki wote wauzwe tu huyo Pogba naye wasimuongeze mkataba. Lingard timu kibao zinamuhitaji ila wanamng'ang'ania tu kwasababu ni zao la academy na hiyo ni moja ya shida ya United, wanaita DNA: kwamba kwenye bench lazima kuwe na academy graduates. Cavani mchezaji mzuri ila majeruhi yamemuandama, Mata, Matic wauzwe. Hao wawili wanaobaki Jones na Martial wafukuzwe, ni jambo zuri Martial kaomba afunguliwe mlango wa kutokea.

Pongezi kwa Solskjaer project yake ya kuondoa wachezaji hewa ilibaki kidogo tu kumalizikia.
 
Cavan anabaki mzee, RR anamhitaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…