Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Tuna points 34, nyie mnazo 22 kumbuka mkuu!!!Kipigo cha Utd kinakuchanganya sana maana kila comment unarefer kichapo kutoka Man Utd
Hivi yohana cabaye ni kabila gani? Kawaharibia man u vibaya sana.kitaa kimyaaa
Itabidi Chifu wangu INZI #AzoeeTu
Ikishindikana ameze PIRITON aeupekane na adha ya JINAMIZI la mabao yanavyoingia golini/yanavyotinga nyavuni....Jinamizi la Yohan Cabaye na wenzie waliogeuza Old Trashfford kuwa #JamviLaWageni ...
Go get Di Canio ASAP before he can replace Maourinho at Stanford bridge🙂Nilikwishawaambia....Moyes hafai......wadau wakasema......apatiwe muda.......wachezaji ni wale wale wa SAF......hiyo staili yake mpya aliyoivumbua kule Everton ilishaonyesha kufeli.....kwani juzi tu Everton na chini ya Martinez wamemchapa bakora ManU......Moyes aache misimamo ya kijinga.........
Ni afadhali wangemchukua Babu Manager Harry Redknap mara kumi kuliko Moyes.....
Hembu funguka zaidi...manake Arsenal hawamtaki tena huyu guy-inaonesha ni kimeo sana hasa linapokuja suala la trophyNzi
tetesi eti RVP anataka kuwasilisha transfer request sijui habari hii ni ya kweli lakini zipo tetesi kutoka MANU
Hembu funguka zaidi...manake Arsenal hawamtaki tena huyu guy-inaonesha ni kimeo sana hasa linapokuja suala la trophy
Hadidu Rejea............We ndo msemaji wa Arsenal kuwa hawamtaki tena?
Nzi
tetesi eti RVP anataka kuwasilisha transfer request sijui habari hii ni ya kweli lakini zipo tetesi kutoka MANU
We ndo msemaji wa Arsenal kuwa hawamtaki tena?
.........hahahahahahaaaaaa!!!
🎶wameinamaaa...., wameinukaaa,....wanaona haaaya haooo!!🎶
#MtazoeaTu ! Hivyo hivyo kiugumu ugumu.....
Naona #WakeZetu bado wanaendeleza kutuonea huruma......
Mimi nawapa challenge hawa #WakeZetu wajitokeze na waseme hapa #ManUnited itashuka daraja ama haitomaliza ndani ya top 4. Na waseme isipokuwa hivyo watafanya nini!
Mimi niliwachallenge kwenye kijiwe chao kwamba, goons wakishinda UCL, naacha kuwa mnazi wa #ManUnited
Njooni hapa, kama mnajiamini.
Cc: Mbu Balantanda Wandugu Masanja Jaguar na wengineo