Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HAKUNA UBISHI..

Ronaldo amechoka..Anahitaji apenyezewe mipira kwenye njia hakuna lingine analoweza.
Mimi ninachojua mdau kwa huu mfumo mpya wa uchezaji chini ya ralf ronaldo msimu ujao ataanzia benchi......ngoja tuone
 
Unamzungumzia anthony martial au martial art mkuu?
jokes

Hao unaosema wafany kuimprove kwa asilimia kumi bado hawawezi kuwa kama Cr7 labda kama kuna uwezekano wazaliwe upya.
1. Ambition
2. Seriousness
3. Leadership
4. Shooting
........
 
Well said,
Ila una alternative?
 
PSG ipo Ufaransa, siyo Uhispania.
 
et mwalimu wa klop
iz nyumbu znajuaga kudanganywa sa mwalm wa klop akafundishe l.moscow


Sent using motorola 78
Mpira wa man UTD ni Sawa na mpira wa Leeds UTD,Kukimbia kimbia kwenye pitch,mipira kupotea ndani ya dk chache short on target na short off target chachee huku ball possession zikiwa juu.

RR ni biesla ambaye ni motivational speaker ALIE ingia town hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…