Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Kuirudisha timu kwenye mstari kunahitaji muda, kuna muda pia unahitaji point 3 zaidi kuliko kucheza vizuri, tuendelee kumpa muda RRTumecheza ovyo sana.....mafuta na maji vimeanza kujitenga
Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....Mmeanza sasa, machezaji mwenyewe magarasa ila kila mkiibuka mnaruka na kocha, ashuke MUNGU sasa.
Au tuma proposal uchukue kibarua wewe.
Mapema sana kusema hivyo. Hakuna instant glory. Hivi vitu vinatengenezwahahahahaha, sure. looks like he has two or three mouths... hahahaha
Hhhm! Hii timu ina majinga hii! Yani kabisa maneno haya ya kutoruhusu magoli mengi ndio mnaongea dhidi ya Norwich.Taratibu timu inaanza kuonyesha mabadiliko. Kazi ya kuibadilisha timu kimifumo na kiuchezaji siyo kazi ya siku moja.
Rangnick anayaishi maneno yake aliyoyasema baada ya game ya Arsenal, kwasasa haturuhusu magoli mengi kitu ambacho hata goli moja tu linatosha kutupa points 3.
Sasa unataka Ralf asiongee kwenye press? Kwani muda anaokaa kwenye press si sawa na Ole?Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....
who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo
Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....
Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....
We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu
Ndio. Hilo linawezekana kwa kocha mpya kuja na kuleta direct impact kwenye timu.Mashabik makanjanja hawajui hilo, wanataka kocha akiingia leo, kuanzia kesho ni kushinda tu mfululizo na kucheza kwa very highest performance
Hayo ni mabadiliko makubwa sana kwasababu chini ya Ole kila timu ilikuwa na uwezo wa kutufunga.Hhhm! Hii timu ina majinga hii! Yani kabisa maneno haya ya kutoruhusu magoli mengi ndio mnaongea dhidi ya Norwich.
Nakubali mjinga mwenzanguKama unatufatilia majinga basi na wewe ni mjinga square pia, mana mjinga huwafatilia wajinga wenzie
We jamaa ni fala. You started this take it easy, rent boy.Nakubali mjinga mwenzangu
Kama wewe fala mwenzanguWe jamaa ni fala. You started this take it easy, rent boy.
Kama wewe fala mwenzangu
Unajua mapumbavu na mashenzi kama nyie mashabiki uchwara ni kwamba mnaona kwamba timu lazima icheze
Just joking. So far Raff is doing a great Job.Mapema sana kusema hivyo. Hakuna instant glory. Hivi vitu vinatengenezwa
But you can pick up areas of weakness, for me performance of Ranaldo and Rashford distorted the whole thing, the guys were very destructive in every aspect.Mmmh...shocking perfomance
Hahahaha okay nimekubali, kocha hajui kufundisha.Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....
who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo
Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....
Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....
We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu