Taratibu timu inaanza kuonyesha mabadiliko. Kazi ya kuibadilisha timu kimifumo na kiuchezaji siyo kazi ya siku moja.
Rangnick anayaishi maneno yake aliyoyasema baada ya game ya Arsenal, kwasasa haturuhusu magoli mengi kitu ambacho hata goli moja tu linatosha kutupa points 3.