kinachonipa matumaini ni kuona angalau tunakua tishio tukiwa na mpira, sio kama enzi za sosha mpira unachezwa na bisaka gwaya na shoo ukimkuta bruno (nyenze) analipiga uko
tunapoteza, kwa sasa timu inakaba chap baada ya kupoteza mpira kitu kinachoashiria perfomance nzuri siku za usoni