Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U nawaita mara tatu,lini mtakutana na sisi West Ham ili tuwanyoe kwa upanga?😎😎😎
Your browser is not able to display this video.
 
Pogba akirudi

Acheze namba10 wawe wanabadilishana na Bruno au 8 wabadilishane na Fred

Vinginevo mambo ya kumpeleka Wide au 6 siyakubali
 
Pogba ni mchezaji wa kawaida ila amebahatika kupata jina kubwa tatizo kubwa la Pogba hana consistence leo kacheza vizuri kesho kacheza ushwa yani anaweza mechi tano acheze vizuri the rest ni utumbo .. mchezaji ambaye hana consistence namuita wakaida tu .wanao mtetea wanamkinga team ya taifa wanasema anafanya vizuri ni kweli sikatai lkn tujiulize team yataifa anakuwa akicheza dk ngapi au mechi ngapi utangundua ni mechi tano hazizidi hata 15 ambazo hata united anacheza anaperform msimu umeanza kapiga assist kama 5 mechi za mwanzo the rest ni utumbo abadilike awe world class siyo world class ya maneno mengi na ujanja Mwingi
 
Huko nyuma humu humu nimewahi kusema Pogba katika 100% ni 60%-65% player ...

Overrated
 
Pogba aondoke..
 
Kumbe Ralf anasema alimwambia Carrick abaki ili awe msaidizi wake, Carrick akagoma.

Bora Derby Country wampe timu hata Carrick kuliko huyu Rooney
Derby wapo vizuri chini Rooney ni kwamba tu hawana wachezaji wazuri sana kwenye safu ya ushambuliaji ila defensively wana-hold vizuri tu top clubs kwenye Championship. Wanaruhusu goli chache pia wanafunga goli chache kitu kinachofanya wakishinda wanashinda kwa tofauti ya goli moja na wakifungwa pia ni kwa tofauti ya goli moja pia ndiyo sababu wanapata droo nyingi.

Derby msimu huu lazima washuke baada ya msimu uliopita kukoswakoswa na rungu la relegation mechi ya mwisho kabisa. Msimu huu wamepoteana baada ya kukatwa points isingekuwa hivyo Derby wangekuwa wanapambana kusalia Championship. Kutoka kucheza Championship Playoffs mpaka relegation battles ni dhahiri Derby wamepoteana acha wakajipange Ligue 1.
 
Sio kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…