Man u utopolo wa ulaya.
Basi tu.Sababu? Au ndo mkeka[emoji23][emoji23]
Basi tu.
Hata goli MOJA Hawana.
Kama Barcelona ni ndugu MOJA.
mtu wa betting ukimwambia hivyo unamchanganya.Haha ila Kuna utofauti kati ya Leo na game zingine
Kocha aliamua kuacha kikosi kilichocheza mechi ya mwisho kicheze ili aangalie wapi pa kuongeza na wapi pa kupunguza.SIJAJUA KWA NINI MAKOCHA HAWA WANAPENDA KU-RISK KIASI HIKI..DALOT ANAANZAJE? HUYU KOCHA MGENI NADHANI HAMJUI VIZURI ZAHA. DALOT ATABURUZWA SANA.
Na tumecheza vizuri sana kipindi cha kwanza, watu bado wana feelings za Ole wamesahau kabisa kwamba hawa wachezaji wetu wana kiwango kikubwa kuliko wa Palace sema tu kocha aliwaharibu.Tumeszoeshwa vibaya na ole ndio mana kila game tunaingia na mind set ya kuzuia hivi mnasahau mpira ukiwa mmashambulia na kumiliki Sana mpinzani awezi kukusumbua acheni mentality ya uoga ya defensively dalot bonge la chezaji kwa kocha mzuri mwenye mfumo wa kushambulia ila kwa kudefence bissaka mzuri Sana .ole alikuwa ni mzuiaji tu na tulikuwa tunatoboka hivyo hivyo nadhan mpira ukiumiliki inakuwaga bora hata mpinzani hakushambulii ipasavyo
Back passes zilikuwa zinanikera sn.Afadhali tuko threat zaidi. Angekua masai mabackpasses kama yote. Mmeona hadi De gea kajiunga kupress.
Hapa ndio kocha sasa. Kuua kabisa mpinzani kisaikolojia.
Mechi ijayo ya City pep lazima agawe mbinu sio kuwaambia waache mazoezi hawajui united itachezaje.
Sana, sema imekuwa ngumu kucreate final chances..Hivi vitimu vidogovidogo sio vya ku posses mpira, ilikuwa inaniuzi sn ile hali.
Sent using Jamii Forums mobile app