Tumeshazoeshwa vibaya na ole ndio mana kila game tunaingia na mind set ya kuzuia hivi mnasahau mpira ukiwa mmashambulia na kumiliki Sana mpinzani awezi kukusumbua acheni mentality ya uoga ya defensively dalot bonge la chezaji kwa kocha mzuri mwenye mfumo wa kushambulia ila kwa kudefence bissaka mzuri Sana .ole alikuwa ni mzuiaji tu na tulikuwa tunatoboka hivyo hivyo nadhan mpira ukiumiliki inakuwaga bora hata mpinzani hakushambulii ipasavyo
Binafsi me nakubali chaguo la dalot kuliko bissaka, pia nina appreciate kuanza kwa telles kuliko yule mwingereza, Naamini suala la muda tu! Hiki kikosi Ni kizuri pale kitakapozoeana