👏👏👏Mi nadhani tatizo ni crisis management approach ya Man Utd Board. Baada ya kuona macocha wote wanachemsha wakaamua kuingia na hii gear ya CARE TAKER, INTERIM COACH AND MANAGER. This is a very vague approach.
Kwamba, Care Taker, well, he takes care of the team until an interim coach is recruited (this is in a very short horizon), na sasa katika kuchagiza hili inasemekana Michael atakuwa coach mpaka jumapli tutakapocheza na chelsea, just to make it look like they have meant this to be a very brief situation.
- Mimi sintoshangaa Chelsea wakitubamiza tano na wao, sababu the whole this thing is putting Michael in a very awkward situation, sidhani kama atakuwa na utulivu kichwani mwake kukabiliana na hii situation, yaani wanamtumia yeye kama condom then wakimpata mtu wao asepe? au ndio wamlazimishe huyo mtu wao akija lazima amuaccomodate michael na hao jamaa zake wengine waliobaki?
The, INTERIM COACH, UP TO END OF SEASON. Unless wapate Jobless man, ama sivyo, nani atakubali kuachia mkataba wa mwaka mmoja kwenda kufuata mkataba wa miezi sita in a volatile club like man utd. nadhani ndio maana ukisikia maelezo juu ya Ralf inaelezwa mwisho wa msimu ataendelea na consultancy contract ya miaka miwili, huu uongo wakawaambie watoto, Ralf is negotiating a 2+ years contract ila kwa sababu wanaogopa maneno ya kina neville yasijekutokea kweli, kwamba Van Gaal, Mourniho both failed sasa wanaogopa a high profile mwingine asije akachemsha wakati anamkataba mrefu n.k so wanamuwekea hayo mambo ya consultancy, na sidhani kama Ralf atasign huo mkataba.
Alafu eti Manager, yaani Board imekuwa na akili za kizamani kwelikweli za kutaka kumpa mwanamke mimba kuprove kama anauwezo wa kuzaa ndio aolewe, Ralf akisign huo mkataba namna hiyo hiyo hata kama atataka akina Michael waondoke ntamshangaa sana.
Kwa sababu, akikubali kufanya nao kazi, anajiandaa ama kutokutumia phylosophy yake na hivyo anajiandaa kufail, ama kuitumia na hiyo phylosophy ifail. huwezi kufundisha assistant coaches phylosophy, ufundishe na wachezaji at the same time alafu upate result. sababu mkataba wa miezi sita ni short term project yenye clear target. either we want to be in top four OR we still want to win the league, etc. Now you can't achieve any of these big ambitions with such managerial terms.
Au Akina Michael waondoke, aje na kitchen cabinet yake, well, nao watapewa interim contracts? ikiisha wawe ma assistant consultant au? nao kwa sasa ni majobless? Yaani Manchester imekuwa desperate hata itoe kazi kwa majobless?
Tujiandae kwa cocha mpya kusign a three + years.
Hakuna picha hata moja kocha wenu akiwa ameshika kombe [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan anakuja kujifunzia man u kama ilivyokuwa kwa OLE na Arteta
[emoji28]Hakuna picha hata moja kocha wenu akiwa ameshika kombe [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan anakuja kujifunzia man u kama ilivyokuwa kwa OLE na Arteta
Kuuza Rashfood, kuiacha taka taka Martial, hayo ni matumizi mabaya ya fedha.I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Ndio mwalimu wa Klop na Tuchel sasa huyo [emoji23]Hakuna picha hata moja kocha wenu akiwa ameshika kombe [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan anakuja kujifunzia man u kama ilivyokuwa kwa OLE na Arteta
Japo na utuuzima wake wote, ila Cavani anasaidia, tena sana.Mata
Matic
Phil Jones
Bailly
Cavani
Hawa ni watu ambao wanatakiwa waondoke tena United.
Cavani anacheza mechi moja anarudi kitandani na umri wake unatuzibia kununua striker ambaye bado ana energy kubwa.Japo na utuuzima wake wote, ila Cavani anasaidia, tena sana.
Wakuonyeswa mlango wa kutokea ni Martial, jamaa kalegea sana utadhani aishi ulaya bhana!
Hujui chochote kuhusu hii team wewe, ungekuwa unajielewa usingedhania kuwa Ronaldo pekee ndo alikuwa ni mzigo kwa OLE, yani hujaona upumbavu wa Maguire, AWB ,Mac Tominay, na mbinu hafifu za OLE ila umemuona Ronaldo tu.
Haya kama kweli unajilewa tuambie hapa, ni lini Fargie alimfokea OLE kwa kumpiga Ronaldo benchi? Wakati huo wewe ulikuwa wapi?
sikumbuki kama fergie alimfokea kwa maneno makali OGS kwa sababu ya kumweka nje Ronaldo bali hakufurahishwa moja kwa moja na kitendo chake cha kumuanzisha benchi.
Kama tungelikuwa na shida ya kocha mwenye CV nzuri ya makombe tungelimpa timu ernest valverde aliyeshinda mataji akiwa Barcelona lakini ndiye aliefeli interview hivyo akaondolewa kwenye list ya makocha wanaofikiriwa.Hakuna picha hata moja kocha wenu akiwa ameshika kombe [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan anakuja kujifunzia man u kama ilivyokuwa kwa OLE na Arteta
Huu wa kwako utakua ni ushirikina, mdomo mchafu wa DAEMUSHIN aliyepo Makunduchi unachangiaje matokeo mabovu ya manchester united iliopo Ulaya.Man U mmpata kocha. Sasa mnachotakiwa ni kumpa muda msianze kulalamika kila siku. Halafu pia akianza vizuri msipige sana mdomo kama kawaida yenu.
Jifunzeni kuwa na moderation wakuu. Kinachowaponzaga ni midomo. Kelele mingi sana.
Sijamaanisha hivyo mkuu. Naongelea kwanini huwa mnapata tabu sana mitaani na mitandaonu team yenu ikifanya vibaya. Nikwasababu mna kelele sana.Huu wa kwako utakua ni ushirikina, mdomo mchafu wa DAEMUSHIN aliyepo Makunduchi unachangiaje matokeo mabovu ya manchester united iliopo Ulaya.
Teh teh teh
Huyu Magwaya avue tambala tutafute beki mwingine, hana akili ya mpira huyu.