Akimfunga Chelsea utamleta nani tena?
Newcastle wanamtakaNADHANI FIRST ELEVEN YA UNITED ANGALAO INAANZA KUONEKANA
1. BRUNO
2. RASHFORD
HATARI SANA HAWA WATU
NB: MARTIAL ATAFUTE TIMU, HATA KWA MKOPOView attachment 2021391
Yani kisa amemaliza top four ndio tumthibitishe? Mbona Ole alikuwa na uwezo wa kumaliza top four msimu huu......carrick labda abebe epl ndio tumthibitishe hivihivi hana vigezo....Hivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308
Hata hivyo Carrick ni care taker hadi msimu uishe. Kocha mzuri hamuwezi kumpata January. Kama Pochetino ni hadi msimu uisheHivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308
Ha ha kila kitu leo kipo sawa mzeee BIG HED NAE HAJAFANYA MAKOSASub ya Rashford na Bruno ndio imewamaliza Villa Real.
Leo nimemuona Sancho ninayemfahamu.
Hongereni kwa kuingia 16 bora
Atazoea tu benchiBruno kamind kuanzia benchi leo.. Ukiona assist aliyotoa Sancho alipofunga hakushtuka wala kushangilia wala kuungana na wenzake kumpongeza
Akitaka aondoke..Bruno kamind kuanzia benchi leo.. Ukiona assist aliyotoa Sancho alipofunga hakushtuka wala kushangilia wala kuungana na wenzake kumpongeza
Pale urafiki unawekwa mbele
If he beats Chelsea