Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiangalia hii defence ya Maguire na AWB, Kisha ukakumbuka speed ya uingiaji wa Villarreal kwenye box lazima upate wasiwasi.
 
Kakwepa swali. Adai kwa sasa anafurahia kazi yake PSG. Ila tunajua familia yake iko London na yeye anaishi hotelini
 
Hivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…