Tunampigia Chapuo mdogo ake Sosha arudi man u ili awe kocha. Lengo ni kulinda DNA ya timu.MY STARTING XI vs VILLAREAL
=======
De Gea (C)
AWB Bailly Lindelof Telles
Fernandes Fred VdB
Sancho Ronaldo Rashford
========
De Gea Captain
Lakini tutashangaa Maguire anaanza huku amevalia armband ya ukapteni.
DNA muhimu. Sisi mashabiki wa man u lazima tupiganie mdogo ake sosha aje amrithi kaka yake.Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
Na hichi ndo kinatuuwa past, DNA sijui takataka gani makombe ni vitu vimepita hizi ni era mpya mambo yamebadilika tunatakiwa timu iwe focused na sasa tunahitaji kuchezaje ili tufike wapi na kocha gani mambo ya DNA sijui counter attack shwaaain.Zlatan awaasa Manutd waache kuongelea mafanikio ya zamani au waende hospital wakatibiwe.View attachment 2021109
Inabidi tujitafakari sanaaaaaaa vinginevyo maumivu hayataishaNa hichi ndo kinatuuwa past, DNA sijui takataka gani makombe ni vitu vimepita hizi ni era mpya mambo yamebadilika tunatakiwa timu iwe focused na sasa tunahitaji kuchezaje ili tufike wapi na kocha gani mambo ya DNA sijui counter attack shwaaain.
Mara paap babu SAF anapendekeza D. Moyes awe kocha mkuuSir Alex Ferguson will have no formal role in the search for #mufc's next manager, with John Murtough and Darren Fletcher given the responsibility of identifying and assessing candidates to replace Solskjær #mulive [@MarkOgden_]
Acha kuwapoteza wenzanko haha mkuuuDNA muhimu. Sisi mashabiki wa man u lazima tupiganie mdogo ake sosha aje amrithi kaka yake.
Mwambie pogba hizo pesa akizipata bongo tunazitaji ujenzi wa madarasa haha utani tuVander Beek angecheza badala ya Pogba ambaye hana mapenzi na timu na yuko kibiashara zaidi kuliko kimchezo.
Mkakati wa Pogba ni kuondoka bila kubanwa na mkataba na alipwe yeye hela ya usajili kitita kinachokadiriwa £20 MILL adult zaidi ya bilioni 90 za kitanzania
View attachment 2021114