Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Nyie mnasema tu Eti ki-mbinu. Hana lolote socha.. Socha ni mpole wachezaji wanafanya upuuzi.. hata Bruno aliwaambia mashabiki achaneni na kocha wachezaji ndio wapuuzi... So Socha =wachezaji wapuuzi kina bisaka na beki wenzie .. kuumia kwa bailly ni kazi. Kuumia kwa huyu mgeni kutoka Madrid ninkupiga kazi.... Tena hata Bora huyu mswidish... wengine wapuuzi tuHapo hamna kocha anaeweza kufundisha man u hata sosha ilikuwa nafasi ya upendeleo hakustahili maana hakuwahi kuprove chochote kwenye soka la ushindani kimbinu na kimafanikio maana amefundisha Cardiff akaishusha daraja...na iyo molde kwahy hawa sijui malegend wanatuharibia timu wanaongea sana wanatetea upande wao mfano mzuri ni kushindwa kumtimua sosha ni kama ilikuwa ngumu sana mbaka tumemuacha conte ameenda spurs
Wewe huijui man UTD. Tukisema DNA kaa kimyaUnajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
Sawa ngoja tuone DNA inavyowaumbuaWewe huijui man UTD. Tukisema DNA kaa kimya
Steve bruceManchester United Legends with Coaching Licences.
1. Steve Bruce
2. Mark Hughes
3. Paul Ince
4. Garry Neville
5. Michael Carrick
6. Jap Stam
7. Roy Keane
8. Phil Neville
9. Patrice Evra
10. Nick But
11. Ole Gunar Solkjaer
12. Wayne Rooney
13. Diego Forlan
14. Mike Phelan
Katika orodha hiyo amekosekana hata legend mmoja wa kuvaa viatu vya Ole ?
Ndo kusema??
nimeyakumbuka maneno ya Ole alipokuwa anazungumzia muelekeo wa timu yake anayotaka kuijenga ndani ya uwanjaa mbapo alihitajii kujenga timu inayokimbia sana.Ndo kusema??
Shauri yako....Manchester leo hafungwi na anapata clean sheetVillareal 2------0 England
Leo tunaongoza kundi, na nyuma yetu atakaa Atalanta.Villareal 2------0 England
Timu kubwa zote ziko hivyo except real madrid.Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
Mark Hughes mbinu zake zilishafeli kiasi hakuna tena timu inaweza kumwajiri EPL kama Alan Pardew tuSteve bruce
Mark hughes
Wana uzoefu na epl
Ila Steve Bruce ni underrated manager kwenye epl lakini timu zake nyingi huwa ni strong teamsSteve bruce
Mark hughes
Wana uzoefu na epl
Aongeze msisitizo
Please muache kuwaza vitu ambavyo havipo....Tunahitaji mtu calibre ya tuchel, guardiola na klopp. Hawa wengine tunapotezeana muda kugombea top 4 tu.
Mpaka unakuwa mzee unakufa team haijabeba chochote...Akii nahisi hii timu imelogwa ... hakuna kocha anae itaka hii timu !!
Mimi nakomalia kwenye DNA tusiipotezee DNA ya timu yetu .. na mwelekeo sahihi uko kwa Brendan Rodgers.. naamini sana mfumo wake wa kupress... cha muhimu si mpira wa kupress? mbinu anazo ..
Akishindwa tutajaribu msimu unao fata !! Tuwe tunajaribu jaribu makocha mpaka rooney atapo komaa kuifunza timu yetu
DNA ni jambo la muhimu sana kwa timu yetu .. na hawa malejendarii ushauri wao ni wa kuzingatiwa sana maana wanaijua timu yetu nje ndani