Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Erik ten Hag when asked if Man United don’t have to call him: “My focus is on Ajax, the rest only distracts”
#MUFC

So we are assured that you remain the Ajax manager? “It’s a weird question. I heard nothing about it [Utd job], so I can't think about it”. #Ajax
 
Huyo jamaa angefaa
 
Nature ya kikosi tulichonacho pia inawatisha baadhi ya waalimu kuikubali united katikati ya msimu maana italazimu kuondoa wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kitu ambacho tunaaminishwa kuwa ni world class
Tunaaminishwa nini
 
Ukweli unabaki pale pale , Zidane amekaa kwenye benchi la ufundi la Madrid karbia miaka kumi kabla ya kupewa timu full, wachezaji wale wale wamebadilishwa mfumo wa uchezaji karbia makocha sita tena world-class managers....hii ilimpa uzoefu mkubwa mno wa kujua mchezaji yupi anafaa wapi na yupi hafai wapi....kitu ambacho hata makocha wengine hawakuwa nacho , kabla mambo hayajakaa Sawa wanatimuliwa ...kazi yake ikawa ni kupanga Tu timu ..... Kwa man united jamaa mtamfukuza soon Tu may be akina Ronaldo na Varane waamue kumpambania hasa
 
Jamaa anajua timu ipo hovyo hovyo mno , mashabiki wataweka expectations ambazo zitahtaji bodi ijipange kuzitimiza, kama bodi haitampa nguvu ya kusuka upya kikosi huku wapinzani wake akina clopp, guardiola, Conte etc anaona ataishia kufukuzwa Tu soon Bora ajiendee zake psg ligi isiyo na pressure na wamiliki wanaosikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…