Kwaio kombe tusahau msimu huu sio!?Hii kusema wanatafuta interim coach mpaka mwisho wa msimu Kama nimewaelewa hivi! Yani huenda Kuna kocha pahala wanamvizia na wanaijua contract situation yake,,,,
Tutulize mtori nyama ziko chini ,,,,,
Natambua mkuu,,,,Mara mbili Kama sijakoseaAlishinda league ya spain pia
sio kwamba alihofia kuslip baada ya kuset a tough presedent?Zizzou ni mtu ambaye sio mnafiki. Ukweli ni kwamba rais wa Madrid alikua anam bite back kupitia media. Hili sio suala zuri. Lilipelekea hata Pep kuondoka Barca kwasababu ya president Sandro Rossel.
kuwa na technue & tactics bila man management skills ni sawa na kumlazimisha ng'ombe kunywa maji,Man management is one thing, techniques & tactics ni vitu vingine kabisa.
Ndiye kocha pekee asiye na kazi ulaya kwa sasa. Wengine wote ni lazima ununue sehemu ya mikataba yao.You're extremely wrong mkuu. Ukweli ni kwamba Zidane hayupo available kiasi hiko unachosema.
Kumbuka hii sio self-appointment job.Moja, yeye anataka France NT
Hayupo likizo. Yupo ktk frictional unemployment, kumbuka alifutwa kazi Real Madrid hakuondoka kwa kupenda. Toka amefukuzwa kazi hakuna timu iliyowahi kutuma maombi rasmi ya kumhitaji. Vyombo vya habari ndio vimekuwa vikizusha kuhitajika kwake. Sio kweli kwamba yupo likizo.Mbili, anataka kumaliza mwaka mmoja wa likizo yake.
Hakuna timu iliyomuhitaji rasmi Jombaa.Tatu, hayupo tayari kuchukua team yoyote katikati ya msimu.
Mpaka hapa hafai kuongoza kundi la wanaume.Nne, mke wake hataki weather ya mji wa Manchester (kiafrica tunaichukulia poa ila wenzetu huko wanaskilizana kwenye maamuzi)
Hahaaa are you sure? Weka uthibitisho hapa wa Jose Mourinho kupewa kazi ya kufundisha timu ya taifa ya Uingereza.Kabla Mou hajaenda Inter alikua ameshaamua kuchukua kazi ya England NT mke wake akakataa.
Hapa umejijibu mwenyewe. Niliposema yeye ni cheap nilimaanisha huhitaji gharama za ziada nje ya mshahara wake.Talking about cheap, u cheap wake ni kwamba tu hana release clause yoyote. Ila package-wise jamaa sio the cheapest
Nimeanza kuishabikia LFC kabla huyo dogo hajazaliwa.Unasemaje wewe mshabiki wa Liverpool uliyeanza kuishabikia Liverpool kwa kuvutiwa na Handsome boy TAA kama ulivyosema..
Mkuu Real Madridi ilikuwa kwenye crisis uwanjani toka mwaka 2003, walipita makocha sita bila mafanikio.Yeah mkuu. Mourinho, Carlo, Benitezi wote combined hawakuweza kufanya alichofanya Zizzou. Hili linaniaminisha ana kitu
Mtakuja kumkataa humu shauri yenu.Naangalia falsafa za carrick
Inatosha kusema aachiwe timu, jamaa ana maono ya mbali sana
a very sincere man. OLE na Management ya team walijijua pia hili kwa OLE lakini waka bank kwenye support ya Sir Alex. It has backfired miserably.Robert Carlos anasema kinachomnyima kuingia kwenye ukocha ni anajiona kabisa hana man management
Hilo ndiyo lilikuwa tatizo kubwa la Ole angebadilika eneo hilo Ole angekuwa alishatwaa ubingwa siku nyingi tu.Kuna point alikuwa anaieleza PTER kwamba Ole kinachomuangusha ni laisserz fair policy yake. Yani hana kitu anachopambania ni ngumu kupata matokeo kwa kuwachekea tu unaowaongoza hata wakiharibu.
Gasperin! Ataleta Man to man marking kama Bielsa, ukikutana na timu bora kwa transition zenye good runners unakufa tano hadi sita. Kama United inavyowafanya leeds/ Atalanta.Tumefanikisha jambo la kumuondoa Ole kazi kubwa iliyopo mbele yetu ni kujua nani atakuwa mbadala wa Ole as interim manager na permanent manager.
Interim managers list.
1. Laurent Blanc
2. Ryan Giggs
3. Sam Allardyce
4. Rudi Garcia.
Permanent managers list.
1.Eric Ten Hag
2. Marco Rose
3. Ralph Hassenhutl
4. Gian piero Gasperin
Atleast una timu inayotafuta matokeo siyo hii inayorukaruka kama jogoo aliyekatwa kichwa.Gasperin! Ataleta Man to man marking kama Bielsa, ukikutana na timu bora kwa transition zenye good runners unakufa tano hadi sita. Kama United inavyowafanya leeds/ Atalanta.
Sasa Gasperini ndiyo kiboko ya mabitozi na wanaopenda kumpangia kocha maamuzi.Gasperin! Ataleta Man to man marking kama Bielsa, ukikutana na timu bora kwa transition zenye good runners unakufa tano hadi sita. Kama United inavyowafanya leeds/ Atalanta.
Noma sana. HaaahSasa Gasperini ndiyo kiboko ya mabitozi na wanaopenda kumpangia kocha maamuzi.
Ukileta komedi kukurushia ngumi haoni kazi. Papu Gomez aliondoka baada ya Gasperini kutishia kumshushia kichapo kwa kuona ana masihara uwanjani.
Unafahamu kama Zidane alibakiza miezi 12 ktk mkataba wake? Jaribu kuchukua hiyo official statement ya Real Madrid juu ya kuondoka kwake linganisha na ya Ole utanielewa naongea nini. Tofauti ni moja tu Zizzou alikubali kujiwahi kujiuzulu kabla maamuzi hayajafanyika. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu anayesitisha mkataba wake kabla haujaisha na mtu anayeamua kutoongeza mkataba wake baada ya kumaliza.Sorry mkuu. Nilidhani naongea na mtu anajua nini anasema. I was wrong.
Ni hatari kama football fan (mwandamizi) hujui hata Zizzou aliondoka Madrid kwa kuamua yeye. Sasa kama hili dogo hivi hulijui huko kwingine hatutaelewana.
Hii ni official website ya Madrid iki confirm kuondoka kwa Zizzou.
Real Madrid C. F. announces that Zinedine Zidane has decided to bring an end to his current spell as head coach of our club.
We must now respect his decision and express our gratitude for his professionalism, dedication and passion over the years and what he means to Real Madrid.
Kwaheri jamaa