Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Usitufanyie hivyo mkuu [emoji23][emoji23]haha mkuu najarb kuwafariji hawa ndg ze2 hawajui tu wao wakipoteza ni furaha sana kwe2..hawajui ni jinsi gn washbik wa team pinzan tunavomkubal OLE
Ilikuwa na malengo ya kumpa Ole mkataba mpya😂😂😂😂Kwani wakati msimu unaanza, hii timu ilikuwa na malengo gani?
Hahah bas ndg yng ngj tutulie..walau tumfariji mgonjwa asijisikie vby zaidUsitufanyie hivyo mkuu [emoji23]
Leta msimamo we nyumbuTUMESHAPIGWA...
Endelea kujidanganyaKesho tutashinda ila tukifungwa huenda Ole akafukuzwa, baada ya hapo Mechi itakayofuata tutadraw probably ya chelsea pia tutadraw maana chelsea siyo lethal sana kwenye attack.
Kujidanganya nini ?Endelea kujidanganya