Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora tu man utd muende ueropa mapema ,....manaweza kubahatisha hata Europa


Hayo mengine mnayosubili ni ndoto ....
 
Katika mechi tatu Ole hupata matokeo yote matatu win, draw loss.

What a manager!!!
Halafu kila mechi anasema atarekebisha makosa. Hii itakuwa kurekebisha hadi mwisho wa msimu sasa.
Kama DAEMUSHIN alivyowahi kusema,Ole ni muongo na hana aibu. Kwa ukosoaji dhidi yake ulipofikia,alitakiwa achukue clips za mechi za city,Liverpool na Chelsea alinganishe na DNA zake pale united ajitathimini kama aendelee au aachie kiti.
 
Tunacheza na Villareal kabla ya kucheza na Chelsea i.e jumanne hii.

Probably tunashinda kesho,tutadraw na Villareal and then Chelsea watatufunga this time.
Kesho tutashinda ila tukifungwa huenda Ole akafukuzwa, baada ya hapo Mechi itakayofuata tutadraw probably ya chelsea pia tutadraw maana chelsea siyo lethal sana kwenye attack.
 
Kesho tutashinda ila tukifungwa huenda Ole akafukuzwa, baada ya hapo Mechi itakayofuata tutadraw probably ya chelsea pia tutadraw maana chelsea siyo lethal sana kwenye attack.
Sema Bruno na Ronaldo watambeba tena kesho hata timu ikiwa na perfomance mbovu.

Ila kama unavyosema ikitokea tukafungwa.,ebhana eee lazima aondoke.
 
Sema Bruno na Ronaldo watambeba tena kesho hata timu ikiwa na perfomance mbovu.

Ila kama unavyosema ikitokea tukafungwa.,ebhana eee lazima aondoke.
Kesho atashinda ila kama atafungwa basi kazi yake itakuwa imefika mwisho
 
Board ipo kibiashara zaidi,,na sio kwa manufaa ya club.
Wanafikiria kukatisha mkataba wa ole,na kumlipa ni pesa ndefu.

Ole out.
Pesa ndefu sh ngapi?

Wakati hiyo board imetoa almost £80M kwa useless defender kama Maguire? £75M kwa mchezaji kama Sancho?

Hela ambayo angepewa Ole kuvunja mkataba ni ndogo sana kuliko damage anayozidi kuifanya.
 
Naamini hivyo pia ....sema naona wanahangaika na succession plan .....wanawaza nani wampe timu pia wanavizia kupata kocha wa moja kwa moja na nafikiri kocha wanaemtaka yupo na timu

Ten hag. Poch na the others
Dah, unavyodadavua nadhani upo kwenye bodi ya klab!
 
Wewe umeeleza kitaalamu kwakweli, wengi wanaeleza kimihemuko. Binafsi nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…