UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 905
OLE bado anaidanganya management kwamba these teams which have buttered utd are of high quality, hapo kaishasau mwanzo wa msimu alikuwa anasema his team is a title contender, yaani kabadirisha gear.It has been confirmed..Arsenal are above us in the premier league..
What a joke??!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cause they are better than manIt has been confirmed..Arsenal are above us in the premier league..
What a joke??!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Next weekend ni international break..OLE bado anaidanganya management kwamba these teams which have buttered utd are of high quality, hapo kaishasau mwanzo wa msimu alikuwa anasema his team is a title contender, yaani kabadirisha gear.
Ngoja tuone next Saturday atasingizia nini, sababu lazima atandikwe.
Hii mambo ya international break ndio inayo exacerbate crisis kwa OLE ujue? sio kwamba nawish, lakini intuitive trend analysis yangu inaproject kipigo next mechi, tena hii international break ndio inaongeza odds za kipigo.Next weekend ni international break..
Baada ya hapo tunaweza kubahatisha kiushindi dhidi ya Watford then vipigo vitaendelea maana tupo na Villareal,Chelsea Arsenal kwenye waiting line.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ralf rangnick ni kocha mzuri sana kwa aina ya m0ira anaocheza na falsafa yake kiujumla.....Wazee Moyes anajipigia tu, tatizo siyo wachezaji kabisa ni kochaaaa.
Kama United wapo serious kweli wamlete Ralf Rangnick huyu ndiyo kichwa cha wanayofanya makocha kama Klopp na Tuchel. Kwa style yake na aina ya wachezaji (mapafu ya mbwa) anaowahitaji wapo apewe timu naona tetesi nyingi ni kwa kocha wa Leicester, hapo United wanapotea kwa mara nyingine tena.
Yupo Holland mkuuwamrudishe van gaal
wafike bei, kwanza yule mzee ukimsikiliza ranting zake anaonyesha kabisa he has un finished business at Man U.Yupo Holland mkuu
Fikra za huyu jamaa na Van Gaal naona kama ziko sawa, wamlete van gaal ambaye ana proven record. Unajua wakati man u wanamfire van gaal wao wenyewe walikuwa na hangover ya past success ndio maana hawakuwa na patiency na strategies zake wakakimbilia kwa mcheza Nanii Joseph wakapata nae walichokipata.Huyu ralf rangnick ni kocha mzuri sana kwa aina ya m0ira anaocheza na falsafa yake kiujumla.....
"2019 aliulizwa kuhusu matatizo ya manchester united akasema shida yetu ni katika usajili yani tunasajili wachezaji wengi wasio sahihi, akasema ni bora tusisajili kabisa kuliko kusajili wachezaji wasioendana na mfumo akasema ukizingatia kutafuta kipaji kwakuangalia mfum9 wakiuchezaji wako unauhakika wa 50 kupata the best team....akazungumzia structure ya kupata kocha bora wakuendeleza hivyo vipaji"
Atakaepata hiyo taarifa nitaomva ailete hapa....ralf rangnick analysed manchester united failure 2019
Shida kubwa rangnick anataka interim hadi mwezi wa 5 mwakani...kisha apewe direvtor of football....nafasi ambayo tayari inamtu murtough
Anamuona Mortough kilaza tu sio??..safiHuyu ralf rangnick ni kocha mzuri sana kwa aina ya m0ira anaocheza na falsafa yake kiujumla.....