Taarifa zinasema Cavani is injured, Lindelof doubtful. Mechi ya leo sioni ikiwa rahisi tukicheza bila mawinga. Kwenye 3-5-2 bado LWB na RWB hawafanyi kazi yao ipasavyo.
4-2-3-1 is the way to go. Acha tusubiri Ole anaonaje leo.