Wapo wengi sana ila kwa wanaoweza kuendana na mifumo ya soka la ushindani wa kisasa pia kocha mwenye kiburi kwangu mimi Luis Enrique anaweza sana kufaa.
Erik Ten Hag ni kocha mzuri ila nikimuangalia vizuri kwa jinsi timu yetu ilivyo na uswahili fulani wa ma-legend ku-influence utendaji wa benchi la ufundi, sioni kama huyu jamaa ana ujeuri wa kuwadindia.