Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,716
- 5,344
Mzee yani kwa sasa kikosi kinachoanza utakiona kizuri kwa sababu huyo telles kucheza tu mtihani....Talles kuanza mbele ya Show hiyo siungi mkono.
Show ni mtu na nusu, mchawi ni uwezo wa mwalimu tulie nae.
Mkuu umerudi, nilitaka niwastue wana jamaa nimemuona sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekubali Sorkjaer hana uwezo wa kuwa kocha wa Manchester United, labda apewe ya watoto.
Maguire ana matatizo mengi sana ukiondoa recklessness.
Maguire ana tatizo kubwa la positioning kitu ambacho huwafanya wenzake wafanye makosa pia.
Hana tactical awareness kama defenders wengine ambao ni last defenders.
Ni captain lakini hana leadership yoyote zaidi ya kuwa na kichwa kikubwa tu kuliko wachezaji wengine wote uwanjani.
Hawezi kuresist pressing hata ya mtu mmoja.
Kifupi Lindelof huwa anajitahidi sana kuficha makosa ya huyu mwamba.
Angalia mechi ambazo Lindelof amecheza na Bailly ana cleansheet nyingi kuliko walizocheza na Maguire kwenye timu ya taifa always Lindelof ni man of the match katika timu yenye kundi kubwa la wachezaji average with loads of clean sheets.
Ndio maana tunataka Rashford na watoto wengine wasugue benchi. Waone wazoefu wanavyocheza.
Watakuambia hayupo fiti ndio maana anafanya blandaMaguire ana matatizo mengi sana ukiondoa recklessness.
Maguire ana tatizo kubwa la positioning kitu ambacho huwafanya wenzake wafanye makosa pia.
Hana tactical awareness kama defenders wengine ambao ni last defenders.
Ni captain lakini hana leadership yoyote zaidi ya kuwa na mwili mkubwa tu kuliko wachezaji wengine wote uwanjani.
Hawezi kuresist pressing hata ya mtu mmoja.
Kifupi Lindelof huwa anajitahidi sana kuficha makosa ya huyu mwamba.
Angalia mechi ambazo Lindelof amecheza na Bailly ana cleansheet nyingi kuliko walizocheza na Maguire kwenye timu ya taifa always Lindelof ni man of the match katika timu yenye kundi kubwa la wachezaji average with loads of clean sheets.
Makosa ya Maguire huwa ni yale yale kila mechi.Watakuambia hayupo fiti ndio maana anafanya blanda
Eric Ten HagHivi wana jamvi tukifukuza ole pale kwasasa tutaleta kocha gani maana conte ndo uyo?
Hata mwili anao mkubwa kuliko wachezaji wenzake uwanjani [emoji1]Mkuu nimeiweka vizuri [emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Nilishasema humu mbona huyo awe mzima asiwe mzima blanda hazijawahi kuisha kwakeMakosa ya Maguire huwa ni yale yale kila mechi.
😂😂😂😂Nimekubali Sorkjaer hana uwezo wa kuwa kocha wa Manchester United, labda apewe ya watoto.
Huwa najiuliza sn wanaosema hivi huwa wanamaanisha nn.