Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote wanne wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.
Hata huu mfumo wa kuanzisha mabeki watatu pale nyuma ni namna tu ya kumu-accomodate huyu msenge Harry ila anatugharimu sana. Michezo yote aliyecheza msimu huu ametoa maboko.