Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanakosaga chakuongea tu
Yani wanataka ronaldo afanye nini ili wampe heshima yake, au kisa ni mchezaji mkubwa basi wanataka kumkosoa tu ilimradi, jamaa anacheza kama kijana wa miaka 18 haoneshi kuzeeka, mechi karibu zote alizocheza za utd tangu kurudi kwake anatubeba lkn mtu anaibuka na kusema eti ni mzigo, huu ni unafki wa kiwango cha makinikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…