Kismati mbona nyinyi hakikuwabeba game ya Brentford?Kismart kinawabeba SAANA,Lakini kitaisha TU.Ligi Bado mbichii ndo game ya 10 Kati ya 30+,Muda utaongea TU... View attachment 1994678
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna ndo maana Nikasema nyie kinawabeba,Maana Sio Kwa kupenya kule Kwa matuta.Kismati mbona nyinyi hakikuwabeba game ya Brentford?
Nikikusema vibaya mashabiki wenzako wa Liverkuku watakuja juu.Hujui hata kusoma,Wee Unaona Nini kwani?Kuna Barcelona hapo au Bayern Wala psg?? Au ulitakaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matuta yepi tena.Sisi hatuna ndo maana Nikasema nyie kinawabeba,Maana Sio Kwa kupenya kule Kwa matuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kichwa box,Izo 6 ni Epl?Nikikusema vibaya mashabiki wenzako wa Liverkuku watakuja juu.
Ila ukweli we kichwa maji?
Tuchel akiwa epl amekutana na Guardiola mara 6?
Huelewi hata nachomanisha,Ndo maana nakwambia icho kichwa kama Cha Kim ni boksi.Haujui kama Chelsea kafika hatua ya robo fainali Kwa njia ya matuta??Unafikiria kutumia matako na sio kichwa.Kwa Sababu kichwa ni boksi.Matuta yepi tena.
Jamani Liverkuku mje mumuchukue shabiki mwenzenu huku.
Anawatia aibu.
Hahahah kwa hiyo tuchel akiwa epl ndio wamekutana mara 6?
Kichwa maji at your peak....Huelewi hata nachomanisha,Ndo maana nakwambia icho kichwa kama Cha Kim ni boksi.Haujui kama Chelsea kafika hatua ya robo fainali Kwa njia ya matuta??Unafikiria kutumia matako na sio kichwa.Kwa Sababu kichwa ni boksi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kusoma pita ivii,Nani kaandika wamekutana mara 6 kama Sio wewee?Hahahah kwa hiyo tuchel akiwa epl ndio wamekutana mara 6?
Hizo match unazikumbuka?
Swala la mara 6 umelizungumzia ww kichwa boksi.Wapi nimesema mara 6??Nikikusema vibaya mashabiki wenzako wa Liverkuku watakuja juu.
Ila ukweli we kichwa maji?
Tuchel akiwa epl amekutana na Guardiola mara 6?
Kwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?Hujui kusoma pita ivii,Nani kaandika wamekutana mara 6 kama Sio wewee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile picha uliyopost umeokota wapi?Swala la mara 6 umelizungumzia ww kichwa boksi.Wapi nimesema mara 6??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wewe unataka kutuaminisha ninKwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?
Jamani hili jukwaa huyu mtu mlimuokota wapi?
Hebu kaangalie picha yako uliyopost.
Huelewii kichwa boksi,Yani huelewi kama tunazungumza mada mbili tofauti,mada ya kismatii na mada ya Tuchel na gurdiola!!! Kunywa MAJI ya KUTOSHA akilii ituliee kichwa boksiKichwa maji at your peak....
Tunazungumzia EPL unazungumzia matuta na Robo fainali?
Inaonekana unapensa sana kugawa tako....
I rest my case.
Tangu Tuchel aje chelsea ninekudunda mara 3....Kwan wewe unataka kutuaminisha nin
TT ni mtoto mdogo tu kwa pep
Over
Thread closed
Ilee pichaa nimekuonesha jinsi Gani ambavyo Tuchel ni underdog Kwa gurdiola,Tuchel ana mengi ya kujifunza kutoka Kwa gurdiola,,,,Lakini Kwa kichwa chako boksi,huelewi,Wala hujui kusoma.Ile picha uliyopost umeokota wapi?
Maana inaonekana hata hujaiangalia.
Kichwa maji.
Wewe mbona unaweka vigezo ....Tangu Tuchel aje chelsea ninekudunda mara 3....
Kalale usingizi.
Ndio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....Huelewii kichwa boksi,Yani huelewi kama tunazungumza mada mbili tofauti,mada ya kismatii na mada ya Tuchel na gurdiola!!! Kunywa MAJI ya KUTOSHA akilii ituliee kichwa boksi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah.... Nimekubamiza mara tatu... na saiv wewe watoto wanajipigia tu.... week ijayo tena manyumbu yanajipigia wewe... tupo humu ndani...Wewe mbona unaweka vigezo ....
Battle ni
TT vs pep guardiola
Maswala sijui TT Yuko chooni mwingine bafuni ni uzwazwa
Ukichwa maji wako ndio unaingia hapo....Ilee pichaa nimekuonesha jinsi Gani ambavyo Tuchel ni underdog Kwa gurdiola,Tuchel ana mengi ya kujifunza kutoka Kwa gurdiola,,,,Lakini Kwa kichwa chako boksi,huelewi,Wala hujui kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app